Sikonge JF-Expert Member Joined Jan 19, 2008 Posts 11,584 Reaction score 6,136 Jul 27, 2011 #1 Huyu dada naona kaamua kutusaidia wale ambao Magamba bado yametufunika na hatuoni mateso yanayoendelea. Kama unafikiiri Watashi hiyo haiwakumbi, basi angalia dada anaimba kwenye studio inayoenda kwa nguvu ya Betri la gari..... Umeme wanatumia mishumaa na SIKIRINI za simu kama siku Yanga wanapewa kombe pale uwanjani. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Huyu dada naona kaamua kutusaidia wale ambao Magamba bado yametufunika na hatuoni mateso yanayoendelea. Kama unafikiiri Watashi hiyo haiwakumbi, basi angalia dada anaimba kwenye studio inayoenda kwa nguvu ya Betri la gari..... Umeme wanatumia mishumaa na SIKIRINI za simu kama siku Yanga wanapewa kombe pale uwanjani.
Sikonge JF-Expert Member Joined Jan 19, 2008 Posts 11,584 Reaction score 6,136 Jul 27, 2011 Thread starter #2 Nchi ikiw giza, basi na nguvu za giza zinaanza. Ona hivi vitoto vinavyofanya. Hiki kibinti sidhani kama bado hakijaanza kazi. Kama bado basi it's just a matter of miezi tu akina Liumba waanze kazi. Hapa utaona kweli sisi wanaume tunakuwa polepole sana. Hao karibu wote wanajua nini maana ya SEX. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Nchi ikiw giza, basi na nguvu za giza zinaanza. Ona hivi vitoto vinavyofanya. Hiki kibinti sidhani kama bado hakijaanza kazi. Kama bado basi it's just a matter of miezi tu akina Liumba waanze kazi. Hapa utaona kweli sisi wanaume tunakuwa polepole sana. Hao karibu wote wanajua nini maana ya SEX.