Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari za hivi punde.
Rais Wa jamhuri ya Tanganyika amemteuwa Mh Julia's Mtatiro kuwa balozi wa Canada.
Mh Balozi Mtatiro ataapishwa Jumatatu asubuhi
Isijekuwa ni mosi April, hivi kuna Jamhuri ya Tanganyika!
Tanganyika
Hivi ni kweli au??
jukwaa gani hili?Ha ha ha haaa...unafiki unalipa mjue
Mmh!
Angalieni jukwaa wadau, msije ingia kichwa kichwa.
Bila comment yako ningeingia kichwa kichwa na atawapata wengi[emoji2]
Ahsante mkuu kwa uzindushiMmh!
Angalieni jukwaa wadau, msije ingia kichwa kichwa.
Nchi ya wadanganyikaTanganyika