Mtazame Hussein Machozi Akiongelea Tetesi za Yeye Kuwa Amefariki Dunia Jana-BONGO FUSE TV

Udakuz

Member
Joined
Feb 4, 2013
Posts
85
Reaction score
51
Jana Kila Kona kwenye mitandao kulizuka habari kuwa Hussein Machozi Amefariki Dunia kitu ambacho kumbe hakikua Kweli ..Msikilize Hussein Machozi Kwa Mara ya Kwanza akiongelea Tukio hilo na Pia habari ya yeye kukimbia Kenya Baada ya Kufumaniwa na Mke wa Mwanasiasa wa Kenya Hotelini Wakibanjuka.......

Bongo Fuse TV Inakuletea Uhondo Huo Hapa Chini:
Bonyeza Play

Last edited by a moderator:
Watu wakizusha kitu unashangaa tu mtu puuuuuuuu
 
Huyu kick hii alijitungia..
 
Hahahaaa kwanini?

Jina analotumia mim namshauri alibadilishe "Machozi" ukifuatilia historia yake alikuwa mchezaji akawa anapigwa tu benchi akaingia kwenye mziki nako wanambania ngoma zake hazichezi alipo anza kulia ni pale alipotoa ngoma yake kali inaitwa ADICTED na ikahit ila haikuwa kwenye list ya kill music award! yaani huyu jamaa ni mtu wa majanga sana ukiwa unamfuatilia juzi kati kashoting video ndani ya ikulu ya rwanda lakini kimya!
 
duhu ata achaje kulia sasa kwa dizaini hi amazing hivi..
 
Back
Top Bottom