Huyu kick hii alijitungia..
Huyu jamaa nikimwangalia ananitia huruma! kuna siku alifanyiwa mahojiano na times fm kama sijakosea katikati ya mahojiano akaanza kulia!
Huyu jamaa nikimwangalia ananitia huruma! kuna siku alifanyiwa mahojiano na times fm kama sijakosea katikati ya mahojiano akaanza kulia!
Hahahaaa kwanini?
Jina analotumia mim namshauri alibadilishe "Machozi" ukifuatilia historia yake alikuwa mchezaji akawa anapigwa tu benchi akaingia kwenye mziki nako wanambania ngoma zake hazichezi alipo anza kulia ni pale alipotoa ngoma yake kali inaitwa ADICTED na ikahit ila haikuwa kwenye list ya kill music award! yaani huyu jamaa ni mtu wa majanga sana ukiwa unamfuatilia juzi kati kashoting video ndani ya ikulu ya rwanda lakini kimya!