Em tupe full eksipiriensi mkuu! Make umeelezea juu juu tu ila inaonekana kama vile wewe ni muhanga kwa namna moja ama nyingine..Ukiona mtoto mchanga analialia hovyo bila sababu yoyote ujue huyo anayeitwa baba yake ni feki.
Nilishawahi kuambiwa miaka kadhaa iliyopita sikuamini, lakini leo hii nimeamini kuna watoto wanne ninaofahamu ambao walikuwa wanalia sana halafu baadaye ikaja kugundulika walichakachuliwa.
Kwahiyo hii hali ikitokea kwa mtoto wako fanya uchunguzi,Inaweza ikawa ni matatizo mengine au hili ambalo nimelitaja hapo juu,tuwe makini sana tuvae condom tunapochepuka ili kuepukana na changamoto Kama hizi pamoja na maradhi,tunawatesa viumbe wasiokuwa na hatia kwasababu ya starehe zetu za sekunde 10.
Mbona full minofu hapo wewe jisevie tu, Mimi sio mhanga ila nimeyashuhudia kwa ndugu yangu wa damu na hata kwa wengine,huyu mtoto wa ndugu yangu tulikuja kugundua sio mtoto wetu baada ya kufikisha miaka 7, ndipo tukaanza kuunganisha matukio ya nyuma ambayo yametokea hata kwa wengine ambao walichakachuliwa.Em tupe full eksipiriensi mkuu! Make umeelezea juu juu tu ila inaonekana kama vile wewe ni muhanga kwa namna moja ama nyingine..
Kwa heshima yako jazia nyama basi tujifunze kitu hasa kuelezea hao watoto wanne ilkuaje mpaka ukathibitisha hilo..?!
Zama hizi za sayansi mkuu?Ukiona mtoto mchanga analialia hovyo bila sababu yoyote ujue huyo anayeitwa baba yake ni feki.
Nilishawahi kuambiwa miaka kadhaa iliyopita sikuamini, lakini leo hii nimeamini kuna watoto wanne ninaofahamu ambao walikuwa wanalia sana halafu baadaye ikaja kugundulika walichakachuliwa.
Kwahiyo hii hali ikitokea kwa mtoto wako fanya uchunguzi,Inaweza ikawa ni matatizo mengine au hili ambalo nimelitaja hapo juu,tuwe makini sana tuvae condom tunapochepuka ili kuepukana na changamoto Kama hizi pamoja na maradhi,tunawatesa viumbe wasiokuwa na hatia kwasababu ya starehe zetu za sekunde 10.
Mmnh hizi hypothesis kingine.. ztavunja ndoa Za watu sasa iv...Tuwe makin sana na mitazamo jaman... hahaha awechelewag kupaniki watuUkiona mtoto mchanga analialia hovyo bila sababu yoyote ujue huyo anayeitwa baba yake ni feki.
Nilishawahi kuambiwa miaka kadhaa iliyopita sikuamini, lakini leo hii nimeamini kuna watoto wanne ninaofahamu ambao walikuwa wanalia sana halafu baadaye ikaja kugundulika walichakachuliwa.
Kwahiyo hii hali ikitokea kwa mtoto wako fanya uchunguzi, Inaweza ikawa ni matatizo mengine au hili ambalo nimelitaja hapo juu, tuwe makini sana tuvae condom tunapochepuka ili kuepukana na changamoto Kama hizi pamoja na maradhi, tunawatesa viumbe wasiokuwa na hatia kwasababu ya starehe zetu za sekunde 10.
Kama unajua umeshikisha mtu unaeishi nae na mtoto analialia sana bila sababu dawa ni moja tu tafta nguo ya baba halali umtandikie ama uwe unamfunikia huyo dogo akilala hautosikia hvyo vilio tena labda awe anaumwaUkiona mtoto mchanga analialia hovyo bila sababu yoyote ujue huyo anayeitwa baba yake ni feki.
Nilishawahi kuambiwa miaka kadhaa iliyopita sikuamini, lakini leo hii nimeamini kuna watoto wanne ninaofahamu ambao walikuwa wanalia sana halafu baadaye ikaja kugundulika walichakachuliwa.
Kwahiyo hii hali ikitokea kwa mtoto wako fanya uchunguzi, Inaweza ikawa ni matatizo mengine au hili ambalo nimelitaja hapo juu, tuwe makini sana tuvae condom tunapochepuka ili kuepukana na changamoto Kama hizi pamoja na maradhi, tunawatesa viumbe wasiokuwa na hatia kwasababu ya starehe zetu za sekunde 10.
Sawa mkuu,nje ya hayo ulivyoandika hapo ukiona analialia tu ujue mtu Kuna magendo yamefanyikaUsivuruge NDOA za watu mkuu, kuna watu watakwenda na mdundo huo huo;
Mtoto mchanga hawezi kulia bila sababu, mtoto analia kwa yafuatayo;
1. Njaa
2. Cholic acid tumboni
3. Joto
4. Uchovu
Hayo mengine sijui ya wachawi, kakataa jina na blaa blaa kama hizo ni mbwembwe tu.