Mtazamo binafsi

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Duniani ni kusaidiana wakuu,kunachangamoto ya wadada kutokuwa na wapenzi hasa wale wenye umri mkubwa(30+).Kutokana na upungufu wa Me,mi nilikuwa naona njia ya kuwasaidia ni kuingia makubaliano ya hiari...miezi 6 unakuwa kwa equation x,miezi sita mingine kwa mwingine n.k lakini hakuna kupiga mizinga.Mnaonaje hilo wakuu?
 
Uroho ndio unakufanya uwaze hivi.

Wahusika hawawezi kukubali hili.
 
Mkuu umewaza vizuri sana ila kabla hatujafika huko tutokomeze kwanza zero
 
Mbona hili suala la wadada walio single linawaumiza watu wengine kuliko wahusika wenyewe?

Unadhani linawaumiza? Hawana lolote uzinzi tu mbona hawaumizwi na masikini wasio na mali ila wanaumizwa na wanawake wasio na waume? Hakuna cha huruma wala msaada ni umalaya tu ndo unawasumbua.
 
Wakati unahamia Kwa mwingine, huyu unayemuacha si unamrudisha back to square one..?!?!
 
Unadhani linawaumiza? Hawana lolote uzinzi tu mbona hawaumizwi na masikini wasio na mali ila wanaumizwa na wanawake wasio na waume? Hakuna cha huruma wala msaada ni umalaya tu ndo unawasumbua.
Kwani wewe upo single na umegonga 30+ ?
 
Naona mkuu umeamua kutupa jabali gizani atakae piga ukunga ujue limempata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…