Siongelei zile amri kumi tu naongelea biblia nzima maana hata hizo amri nazo ziko kwenye biblia kwahiyo tamaduni za mababu zetu ndo zina mamlaka kuliko maandiko ya Mungu?Katika amri za Mungu aliye hai hakuna amri inayosema tunatakiwa kuoa mke mmoja.
Utaratibu wa kuoa mke mmoja umeletwa na wamisionari
Amri iliyo kuu kuliko zote ni upendo.Siongelei zile amri kumi tu naongelea biblia nzima maana hata hizo amri nazo ziko kwenye biblia kwahiyo tamaduni za mababu zetu ndo zina mamlaka kuliko maandiko ya Mungu?
Hapo mnakuwa mmeonyesha upendo kivipi?Amri iliyo kuu kuliko zote ni upendo.
Zingine zote ni subsidiary tu.
Kwa mwanaume kuoa mke zaidi ya mmoja ni dalili kwamba ana upendo wa hali ya juu sana.
Sawa basi huyo Mungu hata awe Mungu wa nani hajaruhusu mwanaume kusaliti ndoa wala kuoa mke zaidi ya mmoja nipe andiko hata moja linaloruhusu mfanye hivyo na mimi nitakupa maandiko hata matatu yanayokataza mfanye hivyo naomba usinitolee mifano ya kina Abraham wala Jacob wala Solomon wala David maana najua ndiyo reference yenu wanaume wengi
Bila kujua kwamba kuwa nabii au mtume hakumzuii mtu kufanya dhambi maana hakuna binadamu mkamilifu hao wote pamoja na kusaliti ndoa au kuoa mke zaidi ya mmoja kila mmoja yalimpata ya kumpata na walipozeeka walikuja kutubu kwahiyo usinitolee mifano ya hao nipe andiko lilisimama kama sheria linaloruhusu mwanaume kusaliti ndoa au kuoa mke zaidi ya mmoja nasubiri
Kwahiyo tamaduni za mababu ndo zina mamlaka kuliko maandiko ya Mungu?Kwa upande wa Muslim hii kitu inakubalika pia hata hvyo ni culture ya Africa kama alivyosema mkuu Jay refer kutoka kwa mababu zetu
Waislamu wanaoa mke zaidi ya mmoja hawaamini mungu?Kwahiyo tamaduni za mababu ndo zina mamlaka kuliko maandiko ya Mungu?
Kwani hao waislam wanaooa wake wanne ndo hawachepuki? Unadhani kuoa mke zaidi ya mmoja ndo suluhisho? Kama wewe ni muislam oa wake wanne utulie nao na wote uwapende na uwahudumie kwa usawa bila upendeleo kama inavyotakiwa ila kama wewe ni mkristo oa mke mmoja tu kama inavyotakiwaWaislamu wanaoa mke zaidi ya mmoja hawaamini mungu?
Kuhakikisha kila mwanamke anakuwa na muwe/mtoa tulizo la kihisiaHapo mnakuwa mmeonyesha upendo kivipi?
Siyo kila mtu alikuja duniani kutimiziwa mahitaji yake yote kwenye maisha lazima kuwe na waliopata na waliokosa ndo maana kuna matajiri na masikini na waliooa/walioolewa na wasiooa/wasioolewaKuhakikisha kila mwanamke anakuwa na muwe/mtoa tulizo la kihisia
Maandiko ya wapi mkuu ?Siyo kila mtu alikuja duniani kutimiziwa mahitaji yake yote kwenye maisha lazima kuwe na waliopata na waliokosa ndo maana kuna matajiri na masikini na waliooa/walioolewa na wasiooa/wasioolewa
Kwahiyo wewe oa mwanamke mmoja tulia naye kama maandiko yanavyotaka hao wengine wasio na wanaume wewe hawakuhusu kama sababu ingekuwa msaada basi mngewasaidia pia na watu wote wasio na mali ili kila mtu awe na mali
Kwahiyo ukisema hivyo unamaanisha kwamba hata wanawake wakichepuka ni sawa tu maana hakuna maandiko yanayowazuia?Maandiko ya wapi mkuu ?
Maandiko mengine yaliandikwa kwa context ya watu wa wakati huo. Sasa nyie mnayabeba kama yalivyo kila mahali.
Punguza jazba mkuu jambo la busara ni kufunga na kuwaombea wabadilike waachane na masuala mtambuka..Unadhani linawaumiza? Hawana lolote uzinzi tu mbona hawaumizwi na masikini wasio na mali ila wanaumizwa na wanawake wasio na waume? Hakuna cha huruma wala msaada ni umalaya tu ndo unawasumbua.
Kwani wao hawajui kuomba? Kwanini wasijiombee?Punguza jazba mkuu jambo la busara ni kufunga na kuwaombea wabadilike waachane na masuala mtambuka..
Wangekuwa wanajua walitendalo wasingesema hivyo kimsingi tuwasamehe na tusichoke kuwaombea🤝🤝Kwani wao hawajui kuomba? Kwanini wasijiombee?
Tamaduni za kiafrika haziruhusu na hazitambui mwanamke kuchepuka ila vichwa ngumu kama nyinyi mnaoishi kwa tamaduni za kimagharibi mnaweza kuchepuka kama mkipata bahati ya kuolewa. So Ukicheka chepuka at your own risk.Kwahiyo ukisema hivyo unamaanisha kwamba hata wanawake wakichepuka ni sawa tu maana hakuna maandiko yanayowazuia?
Parokianimapadri tuna comment wapi?