Hovyo sana huyu mtu.Katibu mkuu wa chama tawala anapofanya ziara dhumuni kubwa huwa ni kwenda kukagua na kuhakikisha ilani ya chama chake kinachotawala inatekelezwa...
Kwamba kero za wananchi hata kwa kukaatu pembeni unaziona haina haja ya kuedna siteKatibu mkuu wa chama tawala anapofanya ziara dhumuni kubwa huwa ni kwenda kukagua na kuhakikisha ilani ya chama chake kinachotawala inatekelezwa.
Lakini pamoja na ziara zake kugundua kuwa ilani ya chama chake inatekelezwa kwa kwa kusuasua huku kukiwa na malalamiko kero kibao kwa wananchi wa marneo anayofanya ziara hakuna lolote la maana analowasaidia wananchi.
Kero za wananchi kila kona ni zile zile, uonevu wa vyombo vya dola, nidhamu ya watumishi wa umma kushuka, ufisadi, wananchi wanyonge kudhulumiwa.
Hazina Tija Kwa nani? Kero haziwezi kuisha ila hakuna kipindi ilani imetekelezwa Kwa Ukubwa kama Sasa hivi.Katibu mkuu wa chama tawala anapofanya ziara dhumuni kubwa huwa ni kwenda kukagua na kuhakikisha ilani ya chama chake kinachotawala inatekelezwa.
Lakini pamoja na ziara zake kugundua kuwa ilani ya chama chake inatekelezwa kwa kwa kusuasua huku kukiwa na malalamiko kero kibao kwa wananchi wa marneo anayofanya ziara hakuna lolote la maana analowasaidia wananchi.
Kero za wananchi kila kona ni zile zile, uonevu wa vyombo vya dola, nidhamu ya watumishi wa umma kushuka, ufisadi, wananchi wanyonge kudhulumiwa.
Huo ndio ukweli. Anamaliza rasilimali muda na fedha kwa kuwa busy for nothing ili tu kujionyesha kwa bibi kuwa naye anahangaika. CCM ni janga la taifa namba moja.Katibu mkuu wa chama tawala anapofanya ziara dhumuni kubwa huwa ni kwenda kukagua na kuhakikisha ilani ya chama chake kinachotawala inatekelezwa.
Lakini pamoja na ziara zake kugundua kuwa ilani ya chama chake inatekelezwa kwa kwa kusuasua huku kukiwa na malalamiko kero kibao kwa wananchi wa marneo anayofanya ziara hakuna lolote la maana analowasaidia wananchi.
Kero za wananchi kila kona ni zile zile, uonevu wa vyombo vya dola, nidhamu ya watumishi wa umma kushuka, ufisadi, wananchi wanyonge kudhulumiwa.
Naunga mkono hoja.Katibu mkuu wa chama tawala anapofanya ziara dhumuni kubwa huwa ni kwenda kukagua na kuhakikisha ilani ya chama chake kinachotawala inatekelezwa.
Lakini pamoja na ziara zake kugundua kuwa ilani ya chama chake inatekelezwa kwa kwa kusuasua huku kukiwa na malalamiko kero kibao kwa wananchi wa marneo anayofanya ziara hakuna lolote la maana analowasaidia wananchi.
Kero za wananchi kila kona ni zile zile, uonevu wa vyombo vya dola, nidhamu ya watumishi wa umma kushuka, ufisadi, wananchi wanyonge kudhulumiwa.
Hapo anapiga ruzuku wala hana nia ya dhatiKatibu mkuu wa chama tawala anapofanya ziara dhumuni kubwa huwa ni kwenda kukagua na kuhakikisha ilani ya chama chake kinachotawala inatekelezwa.
Lakini pamoja na ziara zake kugundua kuwa ilani ya chama chake inatekelezwa kwa kwa kusuasua huku kukiwa na malalamiko kero kibao kwa wananchi wa marneo anayofanya ziara hakuna lolote la maana analowasaidia wananchi.
Kero za wananchi kila kona ni zile zile, uonevu wa vyombo vya dola, nidhamu ya watumishi wa umma kushuka, ufisadi, wananchi wanyonge kudhulumiwa.
Uko serious?Hazina Tija Kwa nani? Kero haziwezi kuisha ila hakuna kipindi ilani imetekelezwa Kwa Ukubwa kama Sasa hivi.
Kero anazokutana nazo ni ndogo ndogo sana na zote ziko kwenye hatua kadhaa za utatuzi.