Mtazamo hasi wajamii yetu kuhusu makabila haya . . !!!!

Sabry001 nimependa sana msimamo wako! Nakukaribisha sikukuu ya iddi. Twen zetu maisha club kama vipi
 
Last edited by a moderator:
Eiyer hapo juu ulilzea vzuri ila uliposide na kusema hizo hoja zina ukweli ndo umeharibu jumla. Ungetuachia situjadili kama kweli au la japokua hili limshajadiliwa sana hapa.

mwaJ upo wapi mamito ndo napita iringa ivo
 
Last edited by a moderator:

Sitaki mwanangu aoe Mnyalu basi. Sihitaji hoja wala mijadala. Huyo mzee anasababu zake, falsafa za kabila haziishi ila zinafichwa.
 
Last edited by a moderator:
hahaa.! yaani umeshindwa kusema kuwa huo ndo mtizamo wako ukamsingizia mzee wa watu.Wajifanya kuambia watu eti waache hizo fikra na wakati huo huo unatetea hizo fikra unazotaka watu waachane nazo? unachekesha.

Haya bana,naona umeamua kuwa mimi!
 
Umeyatoa wapi haya??Au unapambana na hofu iliyo ndani yako?
 
Iyo ya wamachame nasikia kitambo ilikuwa ivyo maana wengi walikuwa wajane ila haya mambo ya kujichaganya kwa watu kumedillute hii tabia
Ila apo kwenye ukicheche nazani ni tabia ya mtu sidhani kama ni kabila
 
Kazi unayo kubalisha huo mtazamo!!!!!!!!!!!!!!!!.
 
hizo ni mila potofu na zakizamani sana.
mambo yamebaadilika sasa ivi, huyo mzee yeye hajabadilika kuendana na wakati?
 
Iyo ya wamachame nasikia kitambo ilikuwa ivyo maana wengi walikuwa wajane ila haya mambo ya kujichaganya kwa watu kumedillute hii tabia
Ila apo kwenye ukicheche nazani ni tabia ya mtu sidhani kama ni kabila

Well said . . . . . . . . . . . !!!!
 
hapo penye kabla ya ushauri naunga mkono hoja ila huo ushauriiiii......mhhhh hebu ngoja tukae kama kamati
 
huyo mzee anamtaka huyo bint,mm nimechanganya mnyiramba na muhaya kwa baba but cmjui mwanaume mwingine zaid ya mume wangu.wengine cyo kabila hizo wanagawa uchi kama karanga.badiliken bwana mmeshaniharibia saumu sasa aagh!
 
hapo penye kabla ya ushauri naunga mkono hoja ila huo ushauriiiii......mhhhh hebu ngoja tukae kama kamati

Kwa kadri mnavyozidi kuchelewa kutupa nafasi, ndivyo mamba yanavyozidi kuwawea magumu
 
Eiyer hapo juu ulilzea vzuri ila uliposide na kusema hizo hoja zina ukweli ndo umeharibu jumla. Ungetuachia situjadili kama kweli au la japokua hili limshajadiliwa sana hapa.

mwaJ upo wapi mamito ndo napita iringa ivo

Tobaaaaa! Nilikuwa mbali wangu, si unajua tena maandalizi ya sikukuu? Nataka ukifika ukute mambo mazuri sio ndio nianze kukimbia kimbia sokoni.
 
Kwa kuwa teknolojia inakuwa watu "watabadili" makabila yao.Msinishambulie, yangu ni hayo tu.Sikukuu njema
 
sijawahi sikia wasukuma wa Nasa ni wachawi, Gamboshi je?

Aisee, hii si iko Nassa mpakani na Bariadi au? Wanawake wengi wa eneo hili kwa shanga bhana, duh
 
VP WASUKUMA WA MASANZA KONA, IHALE, NYAWA NA LUBUGU?
Bukome , Shigela, Ditiwa, Ilumya na kwa kina Ngongoseke wanahusika? Magu mjini je? Wasukuma ni wamoja, hawana utengano kama wachagga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…