Mtazamo: Haya ni mambo yasiyo paswa kuhusishwa na siasa

Mtazamo: Haya ni mambo yasiyo paswa kuhusishwa na siasa

panthers

Member
Joined
Sep 9, 2017
Posts
34
Reaction score
28
Mambo yasiyo paswa kuhusishwa na SIASA

1. DINI
2.ELIMU
3.AJIRA
4.ULINZI (MAJESHI)

NI MTAZAMO WANGU tahathari kwani haya Ndio vitengenezavyo uhalisi wa mwanadamu.enyi viongoz fanyeni siasa zenu ila msichanganye kwenye hii mifumo.
 
Back
Top Bottom