Ukistaajabu ya ushoga naomba usishangae series mpya inayokuja inaitwa lucifer..Yaani shetani maisha ya kuzimu yamemchosha akajiuzulu na kuja ishi dunian kwenye mji wa angels ( los Angeles) jamaa wanafika kiwango cha mwisho cha kukufuru.
Well said, kwa mfano Scandal ya Olivier Pop, chief of staff wa WHITE HOUSE ni gay halafu eti anapiga mzgo kama kawaida as a right hand of the President, can u imagine??
Boss wangu shoga na ainiathiri chochote ktk utendaji wangu wa kazi za kiofisi, bora nchi za nje wanapoonyesha wazi kuliko bongo wanakofanya siri wakati mashoga wa kimya kimya wako kibao kuliko wanaume rijali.
Aisee...
Wadau nnahisi kama mmefuatilia sana habari za ulimwenguni... Wazungu wengi wanalalamika pollution kuzidi kuwa kubwa sana duniani.
So njia mojawapo ya kupunguza idadi na kuhakikisha haiongezeki ni kupitia hiyo tabia ya(gays&lesbians).
Maana inafahamika kuwa mtu akishaingia kwenye hizo mambo uwezo wa kuzalisha(gay) upungua so kama ikifikia idadi ya walau 3 out of 10men ni gays hapo ni kuwa idadi ya kuzaliana duniani itapungua.
Ukiongezea na hizi chanjo zao wanazolazimishia watu kutumia mwisho wa siku tutafika kwenye malengo yao
Prison Break yenyewe imechezwa na shoga.Nshaachaga kuangalia series za cku hizi.
Huwa narudia 24 hours,Prison Break au Lost
Prison Break yenyewe imechezwa na shoga.
Sijui kama unajua mtu akiwa maarufu watu wanapenda mpaka wanaiga matendo yake.Movie kuchezwa na shoga ni tofauti na movie kuonesha vitendo vya kishoga.
Prison Break unaweza ukaangalia na watu wa rika lote bila kukwazika.
Sijui kama unajua mtu akiwa maarufu watu wanapenda mpaka wanaiga matendo yake.
Ndiyo maana unaona vijana wanamuga David Beckham anavyokata nywele na kuvaa, wanamuiga Michael Jackson, Michael Jordan, na wengine.
Michael Scofield, ni shoga lazima watu watamuiga vitendo vyake.
Nemeilewa ndiyo maana nimechangia.Ni kweli ulisemalo mkuu,lakini title ya hii thread umeielewa??
Nemeilewa ndiyo maana nimechangia.
Nikupe mfano mmoja.
Mimi zamani nilikuwa napenda sana jeans na tshirt za GAP baadae nilikuja kujua hawa jamaa nguo za ni kwa ajili ya mashoga nilipiga moto zote.
Lakini kuna watu wanavaa lakini siyo mashoga lakini ukipita na tshirt ya GAP ukitongozwa usiwe mkali.
Hapana aipromote ushoga lakini ukimsikiliza shoga Michael Scofield anajisifia moja ya kazi iliompa sifa ni Prison Break.Je Prison Break imepromote ushoga??
Hapana aipromote ushoga lakini ukimsikiliza shoga Michael Scofield anajisifia moja ya kazi iliompa sifa ni Prison Break.