Pre GE2025 Mtazamo: Kamati ya siasa ya CCM imecollapse ghafula ,Mungu mkubwa

Pre GE2025 Mtazamo: Kamati ya siasa ya CCM imecollapse ghafula ,Mungu mkubwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2019
Posts
8,406
Reaction score
9,619
Yeye ndie na hakuna mwenye mamlaka juu yake na uwepo wake unadhihilika bila shaka wakuu wangu na waungwana sana wana JF ( sio machawa).

Wana JF amani ya Bwana na ikawe juu yenu popote mlipo kila mmoja kwa imani yenu .

Mada tajwa hapo juu yahusika wakuu.

Nimekaa na kutafakari sana juu ya kamati ya siasa ya ccm ambayo hujisibu kwamba ipo imara leo kuliko kesho ila binafsi nasema hamna kitu.

No Reform no election, huu pia ndo msimamo wangu ila kama reforms zitafanyika wenda kukawa na uchaguzi.

CCM tiyari ina mgombea wa urais ila yanayofanyika mbona ni maajabu tupu kwa mgombea wao, hii ni mpya sana ,maana nyingine kamati ya siasa ya chama cha CCM ipo ICU.

1. Leo mgombea wao anafanya matendo ambayo ni kinyume na sheria za uchaguzi hata kama sheria ni mbovu bado ila kamati wala haitimizi majukum yake katika kushauri ( kifupi mgombea wa ccm ameanza kampeni mapema nje ya taratibu na sheria zilizopo).

2. Juzi uko Arusha amesikika akisema maadhimisho ya siku ya mama zetu Duniani, atakaribia katika sherehe hizo 2030 akiwa anatoka madarakani, hii wengi imewaacha mdomo wazi, yani ata uchaguzi ungekua upo na asilimia 100 kufanyika na hata kama upo madarakani unawezaje toa kauri hii ukiwa kama mgombea mtarajiwa?. Hii hatukuwahi isikia kwa wagombea wote waliomtangulia , kamati ipo na wenda ilimshauri kwa hili.

3 ,Mabango kila mahali ya yeye na mgombea mwenza , na Mgombea wa Zanzibar maana yake nini? Ila kamati ipo imetoa macho tu .

Kwa maoni yangu kamati ya CCM ya siasa wenda wanajua wanachokifanya cha siri ambacho hata mgombea wao wenda hajui.

Ushauri

Mgombea wa CCM lala zako mbele huna team ya maana ,mchana unacheka nao usiku wenda wanakucheka acha legacy yako idum tu ila ukweli hata kama kipenga kinapigwa kesho huwezi kushinda asema Bwana na ilishakua.

No Reform no election

Thanks
 
IMG_0831.jpeg
 
Unaeleweka ila unachomoa sielewi hoja hapa
Kwa kifupi kupitia kauli ya Mgombea wa ccm mteule kule Arusha , na kwa kuwa ccm ipo na kamati ya siasa ya kitaifa achana na za wilaya na Mikoa , ila kiufupi zote zipo ICU, na kwa kauli ile imeipa nguvu sana campaign ya no reform no election , dawati ya siasa ya ccm inaruhusuje hali hii na ulisika lini katika awam zote zilizo pita? Kwamba uyu Mgombea amenogewa kiti mpaka kuvuka mstari mwekundu, au ni wahuni tu wanampoteza. Hii ni ajabu ya miaka mingi ijayo.

Kwa kauli ile uchaguzi wa nini sasa

Chadema wako mbele ya mda sana. Siku ya kufa nyani miti yote huteleza
 
Back
Top Bottom