Mtazamo kwa wafanyabiashara wadogo

Mtazamo kwa wafanyabiashara wadogo

Don Andrew

Member
Joined
Apr 3, 2024
Posts
5
Reaction score
4
Kwanini wanaojihusisha na biashara ndogondogo (wafanyabiashara wadogo) hasa wajasiriamali wanaonekana kuuza vitu vyenye ubora mdogo hata kama vinafanana na wenye biashara kubwa tena kwa bei nafuu zaidi?
 
Mazingira tu, yule yuko na mali kwenye shelf huyu mwingine katunduka juani.
 
Back
Top Bottom