D Don Andrew Member Joined Apr 3, 2024 Posts 5 Reaction score 4 Apr 20, 2024 #1 Kwanini wanaojihusisha na biashara ndogondogo (wafanyabiashara wadogo) hasa wajasiriamali wanaonekana kuuza vitu vyenye ubora mdogo hata kama vinafanana na wenye biashara kubwa tena kwa bei nafuu zaidi?
Kwanini wanaojihusisha na biashara ndogondogo (wafanyabiashara wadogo) hasa wajasiriamali wanaonekana kuuza vitu vyenye ubora mdogo hata kama vinafanana na wenye biashara kubwa tena kwa bei nafuu zaidi?
The Eric JF-Expert Member Joined Feb 23, 2019 Posts 6,446 Reaction score 10,976 Apr 20, 2024 #2 Mazingira tu, yule yuko na mali kwenye shelf huyu mwingine katunduka juani.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Apr 20, 2024 #3 Uwezo mdogo... Cc: Mahondaw