Habari wadau,
Kwanza nianze kwa kutafakari kwanini shule za serikali haziongozi kwenye matokeo, kubali kataa sababu ni hizi.
1. Miundombinu na vifaa vya kufundishia.
2. Ufuatiliaji wa wanafunzi na mienendo ya walimu.
3. Mchakato wa kuwapata walimu na kuwafuatilia kwa ukaribu.
4. Mishahara.
Sababu tajwa hapo juu hutekelezwa vizuri na shule za binafsi. Kama serikali inahitaji kuboresha elimu, isijikite kwenye kigezo kimoja cha usaili, kwa kufanya hivyo shule za binafsi zitaendelea kuongoza milele. Serikali ni wataalamu wa kutunga sera utekelezaji hafifu. Mimi naamini usaili nao utaingiwa mchanga tu (rushwa, upendeleo na ukabila).