Mtazamo tofauti kuhusu videoz za mchungaji Gwajima

Hii thred ikisambaa sawasawa inaweza kubadili mawazo ya watu.
Ka Imani kakarudi kwa Mtumishi wao.
 
Mimi naamini Freemason wamemchoka,wamemtengenezea anguko.

Au Mungu kamchoka,kamtengenezea anguko.

Sodoma na Gomora Mambo yalipozidi Mungu akaona isiwe kesi. Fyekelea mbali
 
ukiwa makini sn utagundua ile video ni yakutengenezwa angalia pale penye shingo ni vitu viwili tofauti kabisa ni uhuni tu kuchafuana
 
Dada alikuwa anatoa sadaka na ukitoa sadaka unatakiwa usifanye mbwembwe yaani mkono wako wa kushoto usijue na dada alipotoa ile sadaka ya chini alihakikisha sura yake haijui na mwili wale hauhisi kama wallet manyoya inaliwa sadaka
 
kakojoe ulale, na kwakuwa wewe ni mtoto baada ya kukojoa futo govi lako ndio uje hapa.
ile ssi video ya gwajima, ni watu wametengeneza, watwsi wa nchi hii, watu wasiojulikana ili tusahau ya mdude chdema, ili kumtukana kristo, Yesu walimuua seuze Gwajima kutungiwa huu uongo?
msishangae watu wanakufa vifo vya ajabu, watu wanaenda likizo wanapata ajali za ajabu mnaulizana mwendokasi kumbe Mungu analipa kisasi na kupatiliza wana uobu wa baba zao
 
ukiwa makini sn utagundua ile video ni yakutengenezwa angalia pale penye shingo ni vitu viwili tofauti kabisa ni uhuni tu kuchafuana
video yote imetengenezwa, ila Mungu ukuu wake ndio unaenea zaid, hakik Yesu ni Bwana.
 
huu ni upuuzi unaotungwa nakikundi flani chenye malengo tofauti ...nakwakuwa sahv watz niwatu wakiki lazima waendelee kufatilia huu upuuzi
Hakuna upuuzi kitu .
Tumeshuhudia viongozi wa dini 1.wakiamurumabint wavue vyupi hadharani wabarikiwe uzazi
2.watolewe mapepo kwa kushikwa matiti au kuliwa denda
3.wakiwafanyia maombi kwa muji u wq hitaji la muombewa kwa kushikwa nyeti
Kwa hiyo sintoshangaa hata pale kama walikuwa katika aina nyingine ya maombi nasikitika kusema ya aina ya kishetani pen gine bint apate ujauzito au mpenzi .
Ndio maana bint alikuwa katika utulivu mkubwa akipokea "baraka" na mchungaji akiwa in hyper excitement katika kubariki kwani mbarikiwa si wa hovyo hovyo katika ulimwengu wa matamanio na kwa wale wanoubeza ugogo wake kitandani kuna vigegedwa hata vikizimia ni vitamu tu havihitaji extra performance kukufanya ufikie milima ya mizeituni
 
sijaiona hiyo vindeo,lakini najiuliza kwanini mwanamke afiche sura?,mke wa mtu au alikua kikazi zaidi,kisha unganisha dots
 
Video hii ni ta uongo. Aliyefanta hiv atapata shida sana.
 
umeshuhudia wapi?
hizo clip za kutengeneza?
wewe utakuwa mwana uamsho ama ISIS/ ISIL , huwezi kuwa mwongo kuliko hata shetani, utubu na umpe Yesu maisha yako, akuokoe wewe na famiilia yako uache kufuga MANGOROMIKO
 
kaoshe govi lako pumbav wewe, yani upuuzi wa ajabu ajabu wa magroup yenu walala hoi ya ngono ndio unasema ni mtumishi wa Mungu, mna chuki sana na ukristo, pumbav
 
umeshuhudia wapi?
hizo clip za kutengeneza?
wewe utakuwa mwana uamsho ama ISIS/ ISIL , huwezi kuwa mwongo kuliko hata shetani, utubu na umpe Yesu maisha yako, akuokoe wewe na famiilia yako uache kufuga MANGOROMIKO
Sasa unanizungumzia mimi mwana wa shetami kwa mujibu wa wewe au hoja ya kuwa kuna viongozi wa dini wenye maainisho niliyoyataja ?
Wapi nilipo ongopa?ndio kwamba kila clip ya kuchefua mtandaoni ni uongo?
Utasubiri sana na dodoki lako kumfanyia mtu usafi
 
wewe endelea kujiharia tu, nenda kafungue geti bosi wako anatoka, wewe ile clip ni feki, hujui kulinganisha? Yule ni ISIS, mpinga kristo, kasemwa kitabu cha ufunuo
 
kaoshe govi lako pumbav wewe, yani upuuzi wa ajabu ajabu wa magroup yenu walala hoi ya ngono ndio unasema ni mtumishi wa Mungu, mna chuki sana na ukristo, pumbav
Wapi nimetaja ukristo?naweza kumtaja/kumchukia mtu mkristo a, muislam au pagani lakini si dini au itikadi ya mtu usinipe maneno au fikra zako ukazifanya zangu tujadili authentic ya ile clip msihame hapo tafadhali
 
wewe endelea kujiharia tu, nenda kafungue geti bosi wako anatoka, wewe ile clip ni feki, hujui kulinganisha? Yule ni ISIS, mpinga kristo, kasemwa kitabu cha ufunuo
Sijui maana si mtaalamu kama nilivyokubali clip ya mariam birian amberruty nundy mavyupi na wima sipeti bas na Gwajema naikubali mpaka iwe proven otherwise na nadhan leo hii katika mahojiano kama alivyoagizwa a report atakuja na utetesi safi sio kupaparika kama unavyo paparika wewe vuta subiri but at the moment lets have a field kama tulivyo fanya kwa akina mariam birian na wapuuzi wengine wa mitandaoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…