Ngambo Ngali
JF-Expert Member
- Apr 17, 2009
- 3,517
- 1,363
Ndiyo nani huyo?
Nimeona cartoon ya Gado ( Godfrey Mwapembwa) kwenye gazeti la East Africa la wiki hii, nimejaribu kutundika sina ufahamu huo.
Cartoon hiyo ni zaidi ya kejeli na fedheha kwa watanzania
Weka link ya hiyo katuni, nitakusaidia kubandika picha hapa JF
Utaisadia jamii ya watz na hususani wewe binafsi iwapo utabainisha kejeli na fedheha ktk hiyo cartoon.
Poa poa...Nimesoma kwenye gazeti moja kwa moja