Mtazamo wako ni upi atakaye cheza Fainali ya CRDB Bank Federation msimu huu 2023/2024

Mtazamo wako ni upi atakaye cheza Fainali ya CRDB Bank Federation msimu huu 2023/2024

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Mtazamo wako ni upi atakaye cheza Fainali ya CRDB Bank Federation msimu huu 2023/2024
Leo Azam fc vs Coastal Union
Kesho Yanga Vs Ihefu
 
Sijui nikae upande upi wa Yanga au Azam maana Azam akichukua kombe confederation inatuhusu🤔
 
Sijui nikae upande upi wa Yanga au Azam maana Azam akichukua kombe confederation inatuhusu[emoji848]
Kubeba kombe la FA sio kigezo cha kucheza klabu bingwa, bali ni lazima ushike nafasi ya kwanza ya pili kwenye ligi kuu.
 
Back
Top Bottom