Mtazamo: Wanaume wapole wanaongoza kwa kusalitiwa na wapenzi wao

Wale wasio wapole...wanaojifanya WAJANJA SANA NA WABABE ndio wanaosalitiwa sanaa.

Ipo mifano mingi tu. Nay wa mitego na maneno yake meeengi na kujifanya mbabe alikuwa anagongewa tu.

Uhuni wa mwanamke ni yeye mwenyewe na tabia yake.
 
Hahaa!!! Hebu nipe experience kidogo ya wana wake wapole
 
Jipe moyo,wakati unakomaa kuandika txt JF wenzako wanafanya yao!!
 
Hayo masuala hayana formula kabisaa, yabaki tu kama yalivyo!!!
 
Usaliti ni tabia ya mtu sema inawezekana kweli wanaume wapole wakawa wachitiwa sana nawapenzi wao
 
Bad boys are more existing to have them around. Good boys can be boring.
 
*****,silly games for children.. Ukikua utaacha,..unadhani hii ndo siri ya kudumisha mahusiano? If ts not meant to be I wooont happen.. And if ts meant mtahappen tuu
 
Bad boys are existing to have them around. Good boys can be boring.
Rafiki zamani ulikuwa mpole kweli kweli na ulikuwa hauna haya mambo kabisa[emoji115] ila siku zinavyozidi kwenda naona unazidi kuimprove na kushow your true colour!!🙂.....nipe siri ya hiyo improvement please!
 
With bad boys sometime s you will be wondering where the he'll is he and his phone us switched off. By the time he comes he may come with a bunch of flowers, your favorite perfume or a ticket for your dreaming concert. You will never get tired of being around bad boys.
 
We utakuwa unagongewa si bure! Siyo kwa povu hilo[emoji38] [emoji38]
Tofautisha kati ya povu na fact...
dhambi ya usaliti mnasingizia upole
rudi kwa Mungu wako akusamehe
dhamb ya usaliti ambayo mshahara wake ni mauti ...yuda alimsaliti Yesu akajinyonga badae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…