Mtazamo: Wanaume wapole wanaongoza kwa kusalitiwa na wapenzi wao

You can't manipulate what you have written from previous comment,am seconds away from revealing your true colour!🙂......believe me!
 
Tofautisha kati ya povu na fact...
dhambi ya usaliti mnasingizia upole
rudi kwa Mungu wako akusamehe
dhamb ya usaliti ambayo mshahara wake ni mauti ...yuda alimsaliti Yesu akajinyonga badae.
Unazungumza maneno hayo ukiwa kama nani hasa...
 
Watu hapa mnachanga upole na ukimya.
Yes kuna wanaume wapole... lakini kuna wanaume wakimya...
Hawa wakimya huwa hawaongei saaana.. sio wazee wa show off. Lakin akiwa na babe... mbona ni shida... wanapiga kazi mbaya.. wanajua majukumu yao na wana msimamo sana.
Alafu kuna hili group la wapole... wapole mpaka mazezeta.. kila kitu wakiambiwa ni yes... hawa kusalitiwa lazima. Mwanamke anataka mtu mwenye msimamo.
 

Hahaha
Mpolee
Mwelewa
Mtaratibu
Makini sana ila hatakagi ujinga ujinga lol

I love you so much Smart911 wamie
Kisses
 
Mbona mnatushambulia sana sisi wanaume wapole? Tatizo nini
 
Haaa haaa hujatembea wewe ukaona, wanaume wapole wana vitu vya kimya kimya wanatumia upole wao kama defensive mechanism, maana hamna mtu wa ku-judge matendo yake watu huwa wanawapa asilimia 100 kuwa hawana makandokando, kumbe balaaaa
Wanaume wapole hehehee acha kabisa,wakati wewe una mpango wa kuchepuka na Joseph jumamosi,yeye mpk hiyo jmosi kapitia anna,pendo,zubeda,rose,rukia halafu lazma ajue mipango yako na bwana Joseph be4 ya siku yenu anakuwacha tu ili yeye siku hiyo amalizie na dabo ya farida na queen km kuna mpole hayupo hivi hicho lazma kitakuwa kizizi chunguza vizuri jooh
 
"...“Despite my thirty years of research into the woman soul, I have not yet been able to answer the great question that has never been answered: What does a woman want?....”

Sigmund Freud

"Licha ya kufanya utafiti kwa miaka thelathini kuhusu nafsi ya Mwanamke, bado sijafanikiwa kujibu swali kuu ambalo halijawahi kujibiwa : Mwanamke anahitaji nini?
 
Kusalitiwa haijalishi mpole au mkorofi, usaliti ni maamuzi ya mtu
 
Hii mbinu huwa naitumia sana hasa mahusiano yakiwa mapya.
Kwanza inamtoa msichana kwenye reli ajione tofauti na alivyo. Kuanzia asubuhi unaweza kumcheki saa 9 jioni hata kama akipiga unaweza usipokee. Mnaweka appointment mtoke jioni then unaweza mwambia ratiba imebana au umechoka au kesho yake ukamwambia umepitiwa usingizi.

Sio kila unaita Dear, Mpenzi, Honey mara umekula. Wanawake neno romantic wanalipenda mdomoni ila sio kwa matendo maana watakuchoka mapema au kukuacha.

Ila hii mbinu at first huwa naonyesha kumjali sana msichana na hapa hela nitatumia kwa anachotaka with limit na budget kulingana na alivyo ila baada ya hapo atakuwa anaisoma namba tuu.
 
Wakimyaaa pia ukiwakosea hawanaga msamaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…