mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Nikipita Mbweni huwa najiona mjinga sana,mahekalu yale yamejengwa nayaona kabisaaa.
Nimezaliwa mjini,nimekulia mjini,shule nimekwenda kiasi chake,lakini sijui nilifeli wapi kumiliki mjengo maeneo hayo.
Pamoja na hayo yote,Masaki bado ni the best.
Ukitaka kujua kama chuo unachosoma ni reputable angalia idadi ya foreign students chuoni kwako,hasa wazungu,ukiona hakuna ujue hicho sio chuo.
Na mitaa ni hivyo hivyo,Masaki inaongoza kwa wazungu kuishi kuliko eneo lolote nchini.hii ina maana kubwa sana kwa wale wadadavuaji