Kila mahali ni Bora Mkuu, inategemea umelenga Nini!Nikipita Mbweni huwa najiona mjinga sana,mahekalu yale yamejengwa nayaona kabisaaa.
Nimezaliwa mjini,nimekulia mjini,shule nimekwenda kiasi chake,lakini sijui nilifeli wapi kumiliki mjengo maeneo hayo.
Pamoja na hayo yote,Masaki bado ni the best.
Ukitaka kujua kama chuo unachosoma ni reputable angalia idadi ya foreign students chuoni kwako,hasa wazungu,ukiona hakuna ujue hicho sio chuo.
Na mitaa ni hivyo hivyo,Masaki inaongoza kwa wazungu kuishi kuliko eneo lolote nchini.hii ina maana kubwa sana kwa wale wadadavuaji
NI HASARA KUBWA SANA...!Nikipita Mbweni huwa najiona mjinga sana,mahekalu yale yamejengwa nayaona kabisaaa.
Nimezaliwa mjini,nimekulia mjini,shule nimekwenda kiasi chake,lakini sijui nilifeli wapi kumiliki mjengo maeneo hayo.
Pamoja na hayo yote,Masaki bado ni the best.
Ukitaka kujua kama chuo unachosoma ni reputable angalia idadi ya foreign students chuoni kwako,hasa wazungu,ukiona hakuna ujue hicho sio chuo.
Na mitaa ni hivyo hivyo,Masaki inaongoza kwa wazungu kuishi kuliko eneo lolote nchini.hii ina maana kubwa sana kwa wale wadadavuaji
Mzungu atakosea vyote ila sio mipango miji au makazi bora.Wazungu ndo kipimo Cha maendeleo kwenye sehem hizo mbili? Sababu masaki Pana wazungu wengi bas ndo Bora sana kuliko mbwen?? 🤔