Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
Tulipo ambiwa tuishi nao kwa akili haikuwa na maana kwamba wana akili nyingi kutuzidi, maana yake ni kwamba wao wana kitu kinaitwa Emotionalism, wanatumia na kuongozwa na hisia, ni wazito kutafakari kabla ya kufanya maamuzi.
Endapo na sisi tukiendekeza hisia na mihemko ( Emotionalism) basi hapatakuwa na suluhisho bali maafa zaidi, endapo wakijawa na hisia, ni vyema kutumia akili katika kukabiliana na mihemko yao pamoja na kutafakari kabla ya kufanya maamuzi.
Tuishi nao kwa akili kwa lengo la kukabiliana na hisia kali pamoja na mihemko yao, sio kwamba wamepewa akili kubwa kuliko sisi, hivyo ndivyo walivyo.