Mtazamo wangu juu ya matokeo ya Simba vs Yanga

PRINCE CROWN

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,210
Reaction score
4,175
Asalaaam Wandugu zangu, Natumai kwa Uweza wa Mwenyezi Mungu Kila Mwana JF Yupo OK. Napenda kuchukua fursa hii kutoa maoni yangu juu ya matokeo ya vilabu vyetu 2 Simba vs Yanga na matokeo mabaya wanayoyapata katika mashindano ya kimataifa.

1 Mfumo wa ligi yetu ya Nyumbani ni mbaya
2 Maandalizi Duni ya Vilabu juu ya Mechi za kimataifa
3 kutokua na mikakati madhubuti ya michezo ya kimataifa
4 Uwezo binafsi wa Wachezaji wa vilabu
5 Magazeti kuchangia kuharibu wachezaji kwa kuandika uongo na kusifia tofauti na uhalisia.

Karibuni katika hoja hii na Asanteni kwa Michango yenu.
 
Mgeni anapokuja anakuwa mwenyeji kunakuwa na mashabiki wengi wanamshangilia.
 
Inaonekana timu zetu hucheza vizuri zikiwa ugenini kuliko nyumbani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…