Mtazamo wangu kuhusu ushiriki wa Yanga kwenye Mapinduzi mpaka hapo ilipoishia

Asante sana
 
Tuliwaambia mapema, wote tumekuja na vikoc kamil lawama baada ya kutok tuache
 
Hamna lolote.Si ndio hao hao walioanzisha mada kuhusu udhaifu wa Simba na kiwango kushuka. Leo baada ya kupandishwa boti mapema wanaanza visingizio vya kitoto vya mazoezi eti bonanza kwani wamejua na akili kuwarudia baada ya kutolewa?Walienda Zanzibar kufanya nini?Kutalii?Walipomfunga Zimamoto mbona ngonjera hizi hazikuwepo?
 
Siku zote mtu akiona kala kichapo na watu wameshuhudia kuwa kapigwa ili kuzuia aibu ataanza kuongea pekeyake ili tu aulizwe apate kujieleza na kutoa sababu tofauti na zilizomfanya adundwe.. Simba iliposhinda goli 2 kwa 1 na kisha 1 kwa 0 mliongea sana kuwa mnabeba kombe hakuna wa kuwazuia leo mmekula za uso mnajidai hamuoni faida...... Naomba niwaambie hivi simba hatushangilii kufika fainal ila tunashangilia kuwashikisha adabu yanga na kushiriki mashindano hadi siku ya mwisho mkomeeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…