The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Sijui kama kuna watu wana mtazamo kama wangu juu ya wanawake wa Sinza.
Kwanza, mimi ni mdau mkubwa wa kuopoa vimwana au kutongoza mitandaoni hasa hii dating sites badoo(mtandao wa makahaba, mashoga, majimama na watu waliokubuhu, tinder(my favourite), tantan(mtandao wa single mamas, tagged(mashoga, single mama, wake za watu), hitwe(mashoga, makahaba, wake za watu, under age wa uswahilini) nk.
Sasa mimi nikikutana na mwanamke kwenye hiyo dating site akaniambia anaishi Sinza naishiwa nguvu kabisa na na-unmatch pale pale. Sijajua labda nina mentality mbaya na wanawake wa sinza ila notion niliyonayo wanawake wote wa sinza wanajiuza.
Mimi naona wanawake wengi wanaoishi Sinza kuanzia wake za watu hadi wanafunzi hua sehemu kubwa wanafanya biashara takatifu, biashara kongwe kuliko zote.
Niwape tahadhari wanaume wenzangu, kama una mpenzi wako anaishi Sinza nakupa pole sana. Sijawahi kua comfortable na mwanamke akishaniambia tu anaishi Sinza na wengi sana wako mitandaoni, kazi zao utasikia nauza duka, nafanya massage, nasoma, nauza vitu online nk.