Super Charged
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 947
- 1,710
Natumaini Mko Salama Wapendwa wa JF,
Huu ni Mtazamo wangu Binafsi Lakini kwa Namna Moja Ni Uhalisia Kwa Baadhi ya watu. Sisemi Kuwa Maisha Yangu Yameharibika Lakini Yamebadilika Mabadiliko Hasi,
Mazingira au Eneo Unaloishi Linaweza Kuchangia Kubadili Tabia/mwenendo wako Hasi Au Chanya
Jamii Inayokuzunguka,akili finyu, tamaa na Kuendekeza Matamanio
Nimemaliza Form 4 Miaka Michache isiyozidi kumi Iliyopita. Nilifanikiwa Kufaulu Kwa Ufaulu wa Kawaida wa Division 2. Nilifanikiwa Kuchaguliwa kujiunga Na Kidato cha Tano Lakini Sikufanikiwa Kuendelea Baaada Ya kupishana Kidogo na Mzazi wangu mmoja baba akinitaka niende form 5 mimi nimekaza Fuvu nataka chuo Nikajifunze Computer programming kwani tayari nilikuwa nashaanza kucode tangu niko form 2 matamanio yangu yalikuwa makubwa. Kuendelea form 5 kwa mchepuo niliochaguliwa hiyo miaka 2 ya Advance ingenirudisha nyuma Ningelisahau Hata hatua ya kwanza ya programming Kuprint "HELLO WORLD"
BABA "We mjuaji sana Hiyo computer itakusaidia nini nani alishafanikiwa Kwa Hayo ma computer"
MIMI "Orodha Ya Matajiri 10 Duniani wengi ni Watu wa computer nina wazo kubwa Naweza fanya Kama Nikisoma"
BABA "Tatizo lako wewe mjuaji sana:
Nikaufyata ulimi Huku nikigubikwa na Hasira Nikaondoka.
Kama Utani Siku zikapita Hakuna Kuulizwa cha chuo. Mama Yangu alisononeka Mimi Kukataa Kwenda Form five lakini Baadae Aliungana mkono na Mimi
"MAMA" Mwanangu fanya Unachoona Ni sahihi Kwako Huwezi jua"
Ilikuwa Miezi, Ikawa Mwaka, Ikawa Miaka Miwili, Huu ni Ujinga kukaa nyumbani Nikajisemea, Mji naoishi ulikuwa ni mdogo vijana wavivu na Majungu Ndo Kilichotawala
Shughuli Kubwa katika Mji Niliokuwa naoushi Ni Kilimo Ingali familia Yetu haikuwa Ya Wakulima.
Huu mji nikiishi Hakuna Nitachopata Akina Musa, Thobias Wamemaliza Form 4 Mpaka Leo Hawana Issue Za maana Kuna Issue gani ya Kufanya katika Huu Mji zaidi Ya Majungu Mji Mdogo Sana
Niende Dar Es salaam Nimeshindwa kuendelea Kusoma Nina Uwezo Mdogo wa Programming Hakuna Mtu wa Kunifundisha
Bill gates alijifunza coding Peke yake Aliwezaje wakati Madude Ni Magumu Hivi Nafsi Yangu ya Kwanza Ilikuwa Ikisema Hivo
Nina Uwezo wa Kutengeza Beats na Kufanya Mixing Kidogo nimejifunza mtandaoni Kwa Nini Nisiende Dar Nikatafute Maisha Nitapata connection Nitakuwa Producer Mkubwa Ingali wanasema Haulipi Kiivo Lakini akina Lizer wanaishi Na Wanamiliki Magari Ingali Ni za Kawaida haziendani na Majina Yao Lakini stage ya Kumiliki gari hata Passo Ni kubwa Kwangu
Nijaribu bahati Yangu, Pia Nina Uwezo wa Graphics pia kidogo Naweza pata chochote Nikienda Dar Mjini Ni Mjini tu Nilijisemea hivo.
Siku Moja Nikadandia Gari Kubwa majira Ya saa 7 Mchana Kuitafuta Dar Es salaam, Safari ya Masaa 36 kwa Gari Kubwa Ilinifikisha Dar Es salaam.
Hapa ndo Ubungo mara ya Mwisho kuja Daraja Halikuwepo Pamebadilika sana
Nikafika Salama Kwa Sister Nilikaa Mwezi Mmoja Bila Kutafuta mchongo wowote Nasoma Ramani
ITAENDELEA......
SEHEMU YA PILI 👇
www.jamiiforums.com

Mtazamo wangu: Kuishi Sinza kunaweza kukuharibia maisha
Wapuuzi kama hawa ni wa kupiga Ban