huyo jr nae unaona ni mtangazaji. mzuri [emoji1] [emoji1] huyo King smash nae anachoweza fanya ni kupiga kelele tu za what's up what's up what's upNgoja tu arelax hajui kama wenzake wakina jr junior, king smash... Wana zitamani hizo chance
BangeHivi ni kwanini Adam Mchomvu ananyang'anywa vipindi?
kanazingu km kapunga kalivokaaPale CMG kuna jamaa flani hiv ana bidii sana naamini atafika mbali..[HASHTAG]#Perfect[/HASHTAG] Crispin