WirelessBrain
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 980
- 1,350
Unapenda vibonge
Wewe tafadhari tutake radhi wanawake wembambaWadada wembamba wakienda kulala kitandani
Alafu wakajifunika mashuka mwili mzima
kwa mbali wanaonekana kama matuta....
UongoooooShida nanilii zao za baridii kama kiporo cha ugali.[emoji125][emoji125][emoji125]
Dah !!!utani wa ngumi huu ntakupasuaa[emoji109] [emoji109]Halafu wakisimama ukutani kwa mbaali utasema kreki
Wadada wembamba wakienda kulala kitandani
Alafu wakajifunika mashuka mwili mzima
kwa mbali wanaonekana kama matuta....
Yaan ata gar ntampa nkimpataUnapenda vibonge
Nipe mimi hahahahahaha na jina la gari andika jina languYaan ata gar ntampa nkimpata