izo kumbe nazo tuzo eeeehMbona zile tuzo alizoshinda Kiba Nigeria kakosa kama ndio hivyo?
Jiongeze wewe.
Hiyo Ni KENYA BAR au?Kaa kimya wewe huna ujualo.
Kenya Ali Kiba anakubalika kuliko Diamond,labda Uganda huko ndio sijui.
Hudda ana nguvu Gani Kenya? Huda na Omondi ni nani zaidi?zari kamuharibia sana diamond kenya baada ya kuweka beef na hudda
huku bongo nako kachafua sana hewa kumtukana wema na kuita watu malaya ,hawajaenda leba na pia team yake kumtukana mama chibu..yaani diamond sasa hivi atasikia tu tuzo hewani hata team yake tunamuhama sasa
Usisahau alikiba kafanya dhuruma Kenyaaaaa ya Millioni 32 na wakenya ndo wanaongoza kwa. Kupost hiyo habari kuliko watanzania kuanzia Citizenyaani diamond kadrop hadi roho inaniuma halafu alivo mjinga kama ankomoa watu sijui anapenda kumpost post zari kama anawakomoa haters kumbe anazidi kujiharibia kwani maisha yake ya mapenzi si aweke kando? mbona kiba na wanamuziki wengine wapo kimya? sijui yule bibi anamlazimisha?
Tuzo gani hizo? Halafu tuzo siku hizi wanatoaga na idadi ya kura?Mfano mzuri kwamba saizi mondi atakuwa kalikoroga ni kwenye zile tuzo za nigeria ambazo Alikiba ameshinda vipengele viwili huku Diamond akikosa kabisa, vipengele vyote alikiba alifikisha kura zisipongua 7000 ila mondi alikuwa na kura zisizozidi 1000, ss hapa sielewi ndo kusema zile tuzo wameona ni ndogo ndomana wapigaji kura wake hawakupiga ipasavyo au laaa
Tuzo gani hizoMbona zile tuzo alizoshinda Kiba Nigeria kakosa kama ndio hivyo?
Jiongeze wewe.
Mnaishia kusema tuzo zile hazina majina?Mbona zile tuzo alizoshinda Kiba Nigeria kakosa kama ndio hivyo?
Jiongeze wewe.
Ohhh saizi hizo tuzo zimekuwa hazina jina, dahh wabongo bana ila angeshinda Diamond ndo zingekuwa na jina, anyaway km hujui jina la hizo tuzo kaangalie wakati mondi anaziombea kura alikuwa anaandika jina gani, msanii anaziombea kura nyie mnajinya hamjui jina la tuzo, unafki mwingine bana wa kikie kabisaTuzo gani hizo? Halafu tuzo siku hizi wanatoaga na idadi ya kura?
Sijawahi ona Diamond akiziombea kura hizo tuzo tuache unafikiii labda screen shoot sehemu ulio ona amepost anaombea watu hizo tuzoo!!! By the way nimeingia kufuatilia zile tuzo ndo nimezijua jana tuache unafikiii ni Tuzo zinazo husika sana Na Filamu kuliko mzikiii ndo maana utaona zina Followers 3700 na account ipo ina miaka mitatu!!Ohhh saizi hizo tuzo zimekuwa hazina jina, dahh wabongo bana ila angeshinda Diamond ndo zingekuwa na jina, anyaway km hujui jina la hizo tuzo kaangalie wakati mondi anaziombea kura alikuwa anaandika jina gani, msanii anaziombea kura nyie mnajinya hamjui jina la tuzo, unafki mwingine bana wa kikie kabisa
Na kuhusu kuonekana idadi ya kura inategemea na mfumo wa tuzo husika, hizo alizoshinda Alikiba zilikuwa zinaonesha idadi ya kura kwakuwa zilikuwa ni za people's choice, so huwezi kuficha kura, na ata km ushawahi kupiga kura afrimma utakuwa unajua kuwa waga wanaonesha idadi ya kura kwa msanii uliempigia, so ukiamua kuangalia nani ana kura nyingi dhidi ya mwenzie unaangalia tu, tatizo mashabiki wengi maneno tu kura wanapiga wengineee, akishinda ndo mnakuja kujaza server huku ikiwa hamjui ata kura zilikuwa zinapigwaje nyie kushabikia tu
Sijawahi ona Diamond akiziombea kura hizo tuzo tuache unafikiii labda screen shoot sehemu ulio ona amepost anaombea watu hizo tuzoo!!! By the way nimeingia kufuatilia zile tuzo ndo nimezijua jana tuache unafikiii ni Tuzo zinazo husika sana Na Filamu kuliko mzikiii ndo maana utaona zina Followers 3700 na account ipo ina miaka mitatu!!
Sikuona Diamond akiomba kura kwa tuzo hizo uonge uachee Mkuu!!!! Labda uje unioneshe kuwa hapa Diamond aliomba kura kwa tuzo hizo!!! Nimeona msanii alieshinda hizo tuzo ni alikiba tu! Wengine wote ni wacheza filamu,kumbe hadi Davido alikuepo,wizkid, Ila anyaway tuzo ni tuzo japo hizo za mchangani! Tuseme ukweliii labda Kiba kashinda kwa Wimbo gani?
Hapo tuzo alizo shinda Alikiba ni zipi? Nacho jua hizo zote bado hazijatolewaMkuu me nidanganye ili iweje alafu me sipo kwenye hayo mambo ya utimu utimu, me nimetoa data km zilivo sema sielewi kwanini mtu uchukie mafanikio ya mwanaume mwenzio, anyway ushahidi wa huo apo
Sema Tuza kama hizi Diamond september 12 2015 alishinda tuzo hizi katika category 2 wimbo bora wa mwaka na msanii bora wa mwaka africa!! Ila sahizi hajazipromoteMkuu me nidanganye ili iweje alafu me sipo kwenye hayo mambo ya utimu utimu, me nimetoa data km zilivo sema sielewi kwanini mtu uchukie mafanikio ya mwanaume mwenzio, anyway ushahidi wa huo apo
Sema Tuza kama hizi Diamond september 12 2015 alishinda tuzo hizi katika category 2 wimbo bora wa mwaka na msanii bora wa mwaka africa!! Ila sahizi hajazipromote
Sijakubali kuwa Diamond mwaka huu aliomba kura hizo tuzo wala mwaka janaMkuu we si umeniita me Muongo na ukataka uthibitisho si nimekupa sa hayo ya 2015 yanatoka wapi tena, kwahiyo umekubali kuwa Diamond aliomba kura au hutaki
Sijakubali kuwa Diamond mwaka huu aliomba kura hizo tuzo wala mwaka jana
Nimekuuliza Tuzo alizo shinda alikiba hapo ni zipi nitajie basi!Samahani mkuu unajua kusoma? Maana umeomba uthibitisho nimekupa ila bado hutaki, anyway km unahisi me nimetengeza hiyo picha nenda kwenye Instagram acc ya mondi uangalie ndo nilikotoa mimi
Nimekuuliza Tuzo alizo shinda alikiba hapo ni zipi nitajie basi!
Hivi kati ya Mimi na wewe Nani haelewi nakuona povu jingi akati nimekuuliza swali rahisi sana mkuu! Sijakataa Diamond kuomba kura tuzo kibao tuuu anaomba kura! Hapa tupo kwenye tuzo alizo shinda Alikiba na Diamond kashindwa wewe unasema Diamond aliomba Kura ukaleta na Screen shoot ndo nakuuliza hizo tuzo ambazo alikiba alishinda na diamond aliomba kura katika hizo ulizo screenshot ziko wapii Nitajie kama Ni Afrima au zipi mimi nimekwambia nacho jua hizo tuzo ulizo screenshot wewe bado hazijatoleaHater utamjua tu, umetaka uthibitisho wa screen shot umepewa ila bado unasema huamini km mondi aliomba kura, ss kweli we unajua kusoma bro au unataka kunichosha tu? Nimekwambia km huniamini kahakikishe kweny acc ya chibu bado hutaki, alafu unakuja na issue ya tuzo zipi alizoshinda alikiba kweli uko serious?
Umeenda kuangalia hadi kwenye IG account ya hao watoa tuzo ila unajifanya hujaona tuzo alizoshinda Alikiba, naamini kuwa we ni me haya ufanyayo mwachie mkeo na mashost wake we hayakufai, kwanini umchukie mtu kwa mafanikio yake, we hapo ulipo huna msaada wowote kweny mafanikio ya Diamond ila unajifanya km ww ndio umekuwa salam au fela
Hadi hapa tulipofikia ushaonekana ni mjinga sa usifanye namimi nionekane mjinga kwa kuendelea kubishana na mtu ambae anabisha kwa mazoea, jina la ID yako lina reflect kabisa haya ufanyayo hapa kwa maana ya kwetu
Nikuombe tu Samahani mkuu umeshinda Diamond wala hajaomba kura kweny hizo tuzo na nikweli kabisa hizo tuzo hazina majina, na wakati diamond anashinda hizo tuzo mwaka jana ndo zilikuwa na jina na baada ya kushinda wakafuta jina