LGE2024 Mtazamo wangu wa Uchaguzi Serikali za Mitaa 2024

LGE2024 Mtazamo wangu wa Uchaguzi Serikali za Mitaa 2024

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Somaiyo

Senior Member
Joined
Jul 1, 2022
Posts
102
Reaction score
184
Hellow people!! Hope mko salama sana na mnaendelea vizuri huko mlipo!

Leo ni siku ya uchaguzi, na nimebahatika kushiriki!!

Kwa ufupi sana naomba nitoe my observations:

👉Hakukua na uchaguzi bali hitimisho la kalenda ya utaratibu kwamba kama taifa Huwa tuna uchaguzi wa serikali za mitaa kabla ya uchaguzi wa serikali kuu.

👉Wasiojua kusoma na kuandika katika taifa hili Bado niwengi sana na kama takwimu zikiwekwa hadharani basi itashangaza sana (maana yake ujinga Bado nimwingi sana nchini kwetu) na hawa ndio wamejitokeza kujiandikisha na kupigwa kura Kwa wingi

👉Vyama vya upinzani havikujiandaa na uchaguzi huu wa maonyesho, either nawao ni part ya maonyesho haya au nivyama visivyo jielewa vina Fanya kazi gani

👉Chama tawala Kwa sasa kinatumia vyombo vya ulinzi na usalama, na watumishi wa umma kuahakikisha kinaendelea kubaki madarakani na Kwa jinsi ilivyo kitaendela kuwepo Kwa 100 years tena as long as Dunia na nchi inaitwa tanzania itaendela kuwepo

👉Kwa uchaguzi huu, lawama sio Kwa Chama tawala Wala upinzani, lawama ni Kwa watanzania wenyewe, wao ndio wenye maamuzi kuhusu wanataka waongozwe aje na Kwa yanayoendela huku uchaguzini ni wazi wameridhika na Aina hii ya uongozi

👉 Namna pekee Chama tawala kitatoka madarakani ni through blood shed , kitu ambayo it will never happen? au usaliti wa watu wazito wenye maamuzi Ndani ya Chama hicho waamue kukiua wao wenyewe, something that won't happen


Nimengi nimeyaona yanatia aibu!!

Mfano; kupewa maelekezo Kwa vituo vyote ambavyo mgombea ni mmoja kuandaa matokeo mapema🤣🤣🤣

Tuishiiiiii!!!
 
👉Vyama vya upinzani havikujiandaa na uchaguzi huu wa maonyesho, either nawao ni part ya maonyesho haya au nivyama visivyo jielewa vina Fanya kazi gani
Kama ilivyo CCM ni chama dola ambacho kinawafanyia wapinzani chochote kile ikiwa ni pamoja kuwaengua wagombea wa upinzani na kutumia kura fake ambazo zinakuwa zimekuwa zimepigwa nje ya vituo na kuwatangaza kwa nguvu wagombea ambao hawakuchagulia,je ulitaka wapinzani wajiandae vipi ili uone kuwa wamejipanga?.
 
🤣🤣🤣 kama tu ujui hz chaguz ndogo watu awachanguwi chama bali huchaguwa mtu wake ambayo wanamwamini akipata shda chapu anamkimbilia na kutatuliwa lakn 2025 eheee! Sjui
 
Back
Top Bottom