Mtazamo: Watanzania wengi wataishi maisha mazuri Sana muongo mmoja ujao kwasababu ya misingi anayoiweka Magufuli

Uende pale morogoro mjini sasahivi ukawaambie hii reli ya sgr naisimamisha Leo isijengwe wanaweza wakakuuwa.
 
Uwambie vijijini kule umeme wa rea ni mbaya walahi watakuloga
 
Ndoto yako imeisha au pia unataka kuota unakunya ......Aisee watu wanamadream

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…