Still my hero[emoji123]Huyo jamaa katika profile yako ni kama yule mzaramo aliyetangaza kupumzika masumbwi Dulla mdhaifu
Unataka kusema hao ni wazungu? Hapo mzungu ni Undertaker tuSwali zuri. Ukiona hivo fatilia uchunguze. Siko hapa kukutafunia kila kitu. We ni mtu mzima sio mtoto. Ukiona kitu haki make sense. Go deep and inspect
Sorry nilikuwa sijaiona hii. Mi nadhani waamerika wana masupastaa wa kutosha, so hawana haja ya kuangalia sijui uzalendo kama sisi tulio na mastaa wachache, wanachagua wanachokipenda ndicho wanakisapoti. Wilder alikuwa champion kwa muda mrefu ila hakuweza kuwakosha waamerika wengi, hata vyombo vya habari vya huko havikuwa vikimpa attention ya kutosha, na wamarekani wengi wasiofatilia boxing walikuwa hawamjui kabla hajapigana na Fury, kuna clip moja huko You Tube kabla ya pambano lake la kwanza dhidi ya Fury, Fury alikuwa anamtroll kwa kuzunguka mitaa mbalimbali ya Marekani na kujaribu kuwahoji watu kuhusu Champion wao Wilder, karibu wote aliokutana nao walikuwa hawamjui[emoji3][emoji3]. Sababu za kutowaimpress wa Marekani wengi kumfatilia ni vile wanasema ni bondia asiye na kipaji anategemea power tu (one trick pony), pili anapigana na vibonde, tatu haheshimu malegend, imagine aliwahi kusema hamkubali Mike Tyson na akasema ingekuwa enzi zake angemknock out mapema[emoji3][emoji3][emoji3], sasa vitu kama hivi nadhani vinachangia watu wasimpende. Upande wa Fury tangia ameanza kupigana America amejitahidi kujimarket vizuri na kujiweka karibu na wamarekani, na trash talk zake haziboi (his mic skills is [emoji91][emoji91]) hivyo kumfanya awe more likeabble. Kuna kipindi alishiriki hadi WWE Main Event, hiyo yote lengo ni kujiweka karibu na wamarekani ambapo ndio ngome kuu ya boxing ilipowazanaki Njoo kuna jambo nataka unieleze vizuri hapa
Kuelekea katika pambano hili la Deontay Wilder na Tyson Furry, kitu nilichokuwa nashangaa ni kwamba Most of superstars wa Amerika walikuwa wana wish Tyson Furry ashinde pambano hili dhidi ya mpinzani wake ambaye ni American mwenzao, Drake, Kanye west, Mike Tyson, Undertaker.
Kwanini hawatoi support kwa American mwenzao?
GREAT VISIONAIRE
screpa
Thanks much mkuu, nimezipata point but vipi kuhusu language arrogance ya boxers wengi duniani na matusi makubwa yakiwemo, mfano juzi kwenye kabla ya pambano la Wilder na Fury kwenye Backstage ya media conference Tyson Furry alikuwa akimtunia mama yake Wilder alisikika akisema "Wilder https://jamii.app/JFUserGuide you", "https://jamii.app/JFUserGuide your mom", "https://jamii.app/JFUserGuide your mama"Sorry nilikuwa sijaiona hii. Mi nadhani waamerika wana masupastaa wa kutosha, so hawana haja ya kuangalia sijui uzalendo kama sisi tulio na mastaa wachache, wanachagua wanachokipenda ndicho wanakisapoti. Wilder alikuwa champion kwa muda mrefu ila hakuweza kuwakosha waamerika wengi, hata vyombo vya habari vya huko havikuwa vikimpa attention ya kutosha, na wamarekani wengi wasiofatilia boxing walikuwa hawamjui kabla hajapigana na Fury, kuna clip moja huko You Tube kabla ya pambano lake la kwanza dhidi ya Fury, Fury alikuwa anamtroll kwa kuzunguka mitaa mbalimbali ya Marekani na kujaribu kuwahoji watu kuhusu Champion wao Wilder, karibu wote aliokutana nao walikuwa hawamjui[emoji3][emoji3]. Sababu za kutowaimpress wa Marekani wengi kumfatilia ni vile wanasema ni bondia asiye na kipaji anategemea power tu (one trick pony), pili anapigana na vibonde, tatu haheshimu malegend, imagine aliwahi kusema hamkubali Mike Tyson na akasema ingekuwa enzi zake angemknock out mapema[emoji3][emoji3][emoji3], sasa vitu kama hivi nadhani vinachangia watu wasimpende. Upande wa Fury tangia ameanza kupigana America amejitahidi kujimarket vizuri na kujiweka karibu na wamarekani, na trash talk zake haziboi (his mic skills is [emoji91][emoji91]) hivyo kumfanya awe more likeabble. Kuna kipindi alishiriki hadi WWE Main Event, hiyo yote lengo ni kujiweka karibu na wamarekani ambapo ndio ngome kuu ya boxing ilipo
Kama alifanya hivyo alikosea sana,ila ndo hivyo mtu akishapendwa amependwa. Btw naona safari hii Wilder kapata love nyingi kuliko kipindi chochote, pamoja na kupoteza ila wengi wamempongeza kwamba he is super hero, he has heart, watu wamependa fighting spirit aliyokuwa nayo kwenye hilo pambano la mwisho, in short kavuna mashabiki wengi baada ya hii loss kuliko kipindi anashinda mechi zake. Wilder vs AJ is still my dream match, siku likitokea hili pambano litauza sanaThanks much mkuu, nimezipata point but vipi kuhusu language arrogance ya boxers wengi duniani na matusi makubwa yakiwemo, mfano juzi kwenye kabla ya pambano la Wilder na Fury kwenye Backstage ya media conference Tyson Furry alikuwa akimtunia mama yake Wilder alisikika akisema "Wilder JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala you", "JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala your mom", "JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala your mama"
Je hii language arrogance Ni moja ya sheria za huu mchezo?
I wish also, ila Nasikia AJ kuna mapambano yake ameyatangaza kuyacheza kabla ya kupumzika kwenye masumbwiKama alifanya hivyo alikosea sana,ila ndo hivyo mtu akishapendwa amependwa. Btw naona safari hii Wilder kapata love nyingi kuliko kipindi chochote, pamoja na kupoteza ila wengi wamempongeza kwamba he is super hero, he has heart, watu wamependa fighting spirit aliyokuwa nayo kwenye hilo pambano la mwisho, in short kavuna mashabiki wengi baada ya hii loss kuliko kipindi anashinda mechi zake. Wilder vs AJ is still my dream match, siku likitokea hili pambano litauza sana
Nnachojua AJ ameupdate his rematch contract na Usyk. Na akishinda hapo ujue ataenda moja kwa moja kwa Fury, hivyo pambano lake na Wilder linaweza kutokea endapo atapoteza hiyo rematch. Nimekumbuka haka kaclip ka Fury, haha this guy is funnyI wish also, ila Nasikia AJ kuna mapambano yake ameyatangaza kuyacheza kabla ya kupumzika kwenye masumbwi
Kwa sababu african akifail media zinatangaza zaidi kuliko akifaulu. Just use common sense a little bit. Racism is real.Kama alifanya hivyo alikosea sana,ila ndo hivyo mtu akishapendwa amependwa. Btw naona safari hii Wilder kapata love nyingi kuliko kipindi chochote, pamoja na kupoteza ila wengi wamempongeza kwamba he is super hero, he has heart, watu wamependa fighting spirit aliyokuwa nayo kwenye hilo pambano la mwisho, in short kavuna mashabiki wengi baada ya hii loss kuliko kipindi anashinda mechi zake. Wilder vs AJ is still my dream match, siku likitokea hili pambano litauza sana
Black european, tumekusikia bana. Umetetea europe hadi jasho linakutokaSorry nilikuwa sijaiona hii. Mi nadhani waamerika wana masupastaa wa kutosha, so hawana haja ya kuangalia sijui uzalendo kama sisi tulio na mastaa wachache, wanachagua wanachokipenda ndicho wanakisapoti. Wilder alikuwa champion kwa muda mrefu ila hakuweza kuwakosha waamerika wengi, hata vyombo vya habari vya huko havikuwa vikimpa attention ya kutosha, na wamarekani wengi wasiofatilia boxing walikuwa hawamjui kabla hajapigana na Fury, kuna clip moja huko You Tube kabla ya pambano lake la kwanza dhidi ya Fury, Fury alikuwa anamtroll kwa kuzunguka mitaa mbalimbali ya Marekani na kujaribu kuwahoji watu kuhusu Champion wao Wilder, karibu wote aliokutana nao walikuwa hawamjui[emoji3][emoji3]. Sababu za kutowaimpress wa Marekani wengi kumfatilia ni vile wanasema ni bondia asiye na kipaji anategemea power tu (one trick pony), pili anapigana na vibonde, tatu haheshimu malegend, imagine aliwahi kusema hamkubali Mike Tyson na akasema ingekuwa enzi zake angemknock out mapema[emoji3][emoji3][emoji3], sasa vitu kama hivi nadhani vinachangia watu wasimpende. Upande wa Fury tangia ameanza kupigana America amejitahidi kujimarket vizuri na kujiweka karibu na wamarekani, na trash talk zake haziboi (his mic skills is [emoji91][emoji91]) hivyo kumfanya awe more likeabble. Kuna kipindi alishiriki hadi WWE Main Event, hiyo yote lengo ni kujiweka karibu na wamarekani ambapo ndio ngome kuu ya boxing ilipo
Unajua kua wilder kwenye pambano lake la pili alidai amedanganywa, kwa maana ya fury kupigana akiwa na unpadded glove, pia maji ya waliyawekea muscle relaxer. Kama kwenye match ya 2 huo udanganyifu ulitokea. Unajuaje kuhusu game ya tatu kama the same thing haijatokeaTutasema yote na kuleta conspiracy theories kibao ila Wilder was well beaten na Fury
Hata kama kuna figisu ila ulingoni Wilder alichezea kichapo na muda ulivyokuwa unaenda jamaa alizidi kuishiwa nguvu wakati Fury ndio kwanza anapata moto.
Wilder akomae na mazoezi na sio maneno.
Kwa how dare you unasema Fury anabebwa wakati hadi sasa hajawahi kupigwa.
Hail Gypsy King
The Undisputed Champion.
Hapa hawawezi kukujibu, watakukimbia. Wanafuta tu loophohes za kumsema wilder vibaya. Hapa kila mtu atakukimbia kwa sababu tushakaririshw kujichukia( black). Wamekua programmed that wayThanks much mkuu, nimezipata point but vipi kuhusu language arrogance ya boxers wengi duniani na matusi makubwa yakiwemo, mfano juzi kwenye kabla ya pambano la Wilder na Fury kwenye Backstage ya media conference Tyson Furry alikuwa akimtunia mama yake Wilder alisikika akisema "Wilder JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala you", "JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala your mom", "JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala your mama"
Je hii language arrogance Ni moja ya sheria za huu mchezo?
Mimi namkubali sana Wilder ndio maana hata picha yake ipo sikuzote kwenye dp yangu, ila hainizuii kusema ukweli. Wilder alipokuwa akiwapiga KO za kutisha hao wazungu mbona hukuja na andiko la ubaguzi?[emoji3][emoji3][emoji3], Mi nadhani ngozi nyeusi ndio wabaguzi zaidi kuliko hao wazungu na wewe ni miongoni mwaoBlack european, tumekusikia bana. Umetetea europe hadi jasho linakutoka
Afu kwenye profile yako umeweka sura ya wilder. Huo unafiki. Itoe tu. Weka picha furyMimi namkubali sana Wilder ndio maana hata picha yake ipo sikuzote kwenye dp yangu, ila hainizuii kusema ukweli. Wilder alipokuwa akiwapiga KO za kutisha hao wazungu mbona hukuja na andiko la ubaguzi?[emoji3][emoji3][emoji3], Mi nadhani ngozi nyeusi ndio wabaguzi zaidi kuliko hao wazungu na wewe ni miongoni mwao
Huelewi hata nilichokisema, ngoja nikuache na ujinga wako[emoji2][emoji2][emoji2]Afu kwenye profile yako umeweka sura ya wilder. Huo unafiki. Itoe tu. Weka picha fury