Bratherkaka
Senior Member
- Apr 30, 2012
- 101
- 10
Habari,
Jana nimepata bad exeprience na basi la MTEI (T305 DTS) kutoka tanga to Arusha, ni mara ya kwanza kwenye historia ya maisha yangu yakusafiri na mabasi.
Wakati wakushuka konda anaomba hela ya kulipisha mzigo. Sijui jinsi ya kuweza kutatua hili tatizo, nimejaribu kuwapigia simu yao wanajibu sawa sawa tutaongea naye.. nimekuwa very dispointed sana.
Ni lini na sisi tutakuwa na utaribu ambao unaeleka kwenye Public service zetu na kuwa na sehemu ambayo unaweza toa malamiko yako unasikilizwa hata. sizani kama tunataji miujiza kwenye mabadiliko ni sisi wenyewe kuwa na commited na kujifunza kutoka kwenye makosa.
Huduma zetu za public zinazo tolewa lazima ziwe zina mahali tunapima kama zinalingana na ghrama zake.
Najua linaweza kuwa jambo dogo kutoa hela tu but kuwe na standard lazima tuwe nayo.
Asante.