mteja tuwasiliane

mteja tuwasiliane

Smart

Member
Joined
Jan 16, 2009
Posts
28
Reaction score
1
Ndugu wana jamii nina mali zifuatazao
Green tourmaline, Red tourmaline, Nickel, Hammersist na mengineyo kulingana na mahitaji ya mteja.
Wasiliana nami kupitia +255789453048 / +255752746068 Stewart Martin

Natangaza hii kitu si kwa lengo la utapeli ila ni kwa yule ambaye ana nia na anajua aina ya hii biashara kama hujui tafadhali usicoment lolote watu tupo kazini tunasaka mahela na siyo kusaka sifa za kufanya kazi ya ukinyozi pasipo kujinyoa.
 
Back
Top Bottom