Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana JF
Nimedokezwa jioni hii kuna ESCUDO NEW MODEL (2002) inauzwa kwa bei nzuri - Tsh 12,500,000/=, kutokana na mmiliki wake kutaka kusafiri nje ya nchi siku ya jumapili (27/2/11).
Bahati zingine...ningekuwa mjini dar ningesha ivuta..bei chee sana.
Umejuaje kama ni bei chee, wabongo bwana!! hivi unajua hata ingekuwa ya mwaka 2011 inawezekana isiwe bei chee kutokana na tathimini za kiufundi. Mimi mpaka niione alafu nimuite mtaalamu then nitajua kama ni bei chee au la!
Wadau; kama nilivyoelezwa hapo awali kwamba "Nimedokezwa", sasa ilinibidi nifuatilie kwa karibu taarifa hii na kupata some photos.
Aliyrnitaarifu mwanzao ali-confuse kwenye mwaka, gari hii ni ya mwaka 1997.
Ambili: Odometer = 159845, CC = 1990, transmission = automatic, haijashushwa machine (haijawahi kutumika bongo), tairi safi.
Nafikiri baadhi ya picha nilizozipata zinaweza kujibu maswali mengi.
NB: Gari hili lipo Zanzibar.
gari hizi ziko mbili zinazofanana, nyingine ina CC 1590