Tetesi: Mtekaji wa Sativa inadaiwa yuko chini ya ulinzi

Mkuu Ponjoro wa Kinondoni unaitwa huku
 
mnahangaika kuwaamini CCM waliopeana nafasi huko majeshini, hao wote lao moja
 
Mkuu huu kwangu mimi nadhani ni uongo. Tena naweza kusema ni propaganda ya kupooza hasira za watu. Anashikiliwa na jeshi gani? Hili hili jeshi ambalo juzi makamanda wake walikuwa wanakaripiwa na ki-mama? Hivi kweli jeshi linaweza kuwa na nguvu ya kumshikilia muuaji anayefanya kazi ya ki-mama?
 
Ni kumuonea tu, sidhani kamal ndiye anatekeleza nchi nzima
 
..hilo jambo haliwezekani.

..wanajeshi hawahusiki na ukamataji wa wahalifu, au raia.

..wanajeshi au MP wanakamata wanajeshi wenzao.

..Mafwele ndiye aliyekamata wanajeshi na alisikika akitoa taarifa ktk kikao na IGP.
Yaan inashangaza kwa kweli.
 
Tunamhoji mpaka aseme aliko Pole pole!
 
Ntaamini kama wakina Pole pole na mdude watapatikana wakiwa hai
 
Yaani unachosema na mm niliwaza hivyo hivyo…kinachosubiliwa ni opportunity, kikundi kilichokuwa well organized kama M23 kikizaliwa tu, wengi kutoka Jeshini watajoin….Wacha waendelee kuchezea moto…petrol ikipatikana basi kwisha habar
 
Amir Jeshi Mkuu(CIC) hawezi kutoa order kwa watu wa chini(Waliomzuia MAFUEL) then wakatae hapo ndipo panatia shaka kwamba ni TANGO PORI(Spin Doctor At Work).

Kitendo cha pili cha kusema kwamba MTEKAJI na muuaji MAFUEL hayupo ndiyo maana wanaotekwa wanarudi ,nayo ni TANGO PORI ,kama hayupo MTEKAJI OG means wanaokamatwa PGO ingekuwa inafanyika so hadi ndugu watakuwa wanajua ndugu yao yupo wapi ,juzi Paratrooper Buyoye katekwa hakuna aliyejua imekuja kujulikana yupo changombe baada ya week moja kupita.
 
Tatizo watz tunapenda sana story, ndio maana tumeletewa hizi story ili tupumbazike!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…