Tetesi: Mtekaji wa Sativa inadaiwa yuko chini ya ulinzi

hahahah! Mkuu umemaliza kila kitu uzi ufungwe!, kwamba soon mafwele ataanza usajili mpya wa new member wa kuingizwa torture chamber, kitalaamu inasema "tunaanzia na kuendeleza tulipo ishia"
 

Sheria ya Usalama wa Taifa iliyopitishwa na Bunge Mwaka 2023 inaruhusu kufanya Jinai ya Uaminifu ikiwemo Kuteka, kuua, kukuzika katika makabuli ya halaiki, n.k.

Hapo awali Sheria ya 1996 ilikuwa inawaruhusu kukusanya taarifa, kuchakata na kutoa mapendekezo serikalini.

Lakini hii Sheria ya Sasa inawaruhusu intelijensia wenye wito wa special duties awe TISS, POLICE, UHAMIAJI, MAGEREZA, nk kufanya jinai ya uaminifu bila kushitakiwa.

Asante
 
Rubbish!
 
Sheria hizo ni za kwao wenyewe ila za kimataifa hazikubaliki.
 
Usidanganyike
 
Chai hizi

Kwani haijulikani mafwele alikuwa anatumwa na nani !? Ina maana hao wanajeshi hawamjui aliye toa order to kill Kwa watanzania,

I can't buy this madness
 
Sheria hiyo ni mbaya inaweza kutumika vibaya hata kumuua Raisi.

Ningekuwa mimi ndio Raisi ningeikataa,
 
Sheria hiyo ni mbaya inaweza kutumika vibaya hata kumuua Raisi.

Ningekuwa mimi ndio Raisi ningeikataa,

Mhe. Rais aliisoma na kupitia Sheria hiyo na kuweza kuisani ili itumike.

Na baada ya kusainiwa tulionao Sheria hii ikitumika vizuri Sana Kwa matukio ya Kuteka na kuuwa yakiongezeka kama sehemu ya kuimarisha intelijensia na kufanya counter intelligence pia.

Natumaini nimekujibu swali lako.

Asante
 
Kweli Sheria ni msumeno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…