Elections 2010 Mteketa mbunge Kilombero

Muuza mafdawa ya kulevya ndo huyo bungeni. Kwa kweli CCM mwogopeni Mungu
 

Mama Regia Mtema kaza uzi. Sala zetu tunazielekeza kwako. Kusanya ushahidi sawasawa.
 

Komaa nao hivyo hivyo, Mungu hamtupi mja wake
 

hebu tuarifu kidogo what exactly happened. Natumaini unazo nakala za fomu za matokeo zikiwa na sahihi zote husika, ama sivyo. Sasa wamebadilisha nini? Fomu au figures kwenye original forms walizo nazo wasimamizi wa vituo vya kupiga kura? Pole sana hata hivyo umewapeleka mama!!!!!!!!!
 

Pole sana WoS kwa kichapo ulichopata toka kwa Mteketa,yaani Mteketa ametakasa!Hata hivyo nafasi yako ya ubunge viti malum ipo palepale,tukutane mjengoni!.
 

Tunajua CCM walipanga kushinda sana kuliko walivyopata kushinda na ndivyo walivyokuwa wakijitapa. Tunajua kuna hila nyingi sana zimekuwa zikiendelea kuhakikisha inakuwa hivyo. Walitarajia ushindi zaidi ya 'wa kishindo' lakini sasa wanaishia kusema wamepata ushindi 'mzuri'. Wamechakachua hapa na pale hasa baada ya kuona wanazidi kupoteza majimbo kinyume na matarajio yao. kwa kuwa wananchi wameanza kuamka, kazi ndio imeanza. Dada yetu, hongera sana kwa kazi nzuri hadi hapo. kama kuna matukio ya kifisadi yaliyopelekea kutangazwa matokeo yaliyoharibiwa, chukua hatua zinazofaa.
 
Jamani CCM imelaanika yaani hata kilema na mwanamke bado dhuluma ipo palepale...............Oh God of Israel have compassion on your servants and right this pernicious wrong.......................
 
Sawa tupe hisia zako,je umefurahi au umechukia!!!
 
wajinga sn hawa ccm. yan kawaida yao n kutoa majbu sahihi kwa kulazmishwa na peoples power. dhulmat wakubwa hawa, mwisho wao u malangoni. dada ye2 tuko nyuma yako,hao jamaa watashughulikiwa mmoja bada ya mwingne.
 

ndiyo jipe moyo mkuu mafisadi watashindwa tena hawataweza kutawala nchi kwa jina la bwana! Hakikisha kopi zote za matokeo zinazothibitisha umeshinda halafu fungua kesi. nawalaani ccm na NEC
 
REGIA MUNGU AKUBARIKI, AKUPE NGUVU NA UJASIRI, NENDA MAHAKAMANI NA VIELELEZO VYOTE UMMA UKO NYUMA YAKO KTK RAHA NA SHIDA.

TUNAKUOMBEA SALAMA UREJEAPO DAR ES SALAAM NA TUNAKUALIKA KTK FORUM ZA WANA ULANGA-KILOMBERO, KARIBU DADA UJE UTUSALIMU SISI NI NDUGUZO.

NASHAURI UPATE LAWYER MAKINI ILI HAKI ITENDEKE NA IWE FUNZO KWA WAPENDA DHULUMA.
TWIJANGE,TWIJANGEEE, TWIJANGE NAKAKA.........

BRAVO REGIA MAMA MOROGORO WA KWELI, ZAO HALISI LA MTO KILOMBERO a.k.a MNYELA.
 
Jamani CCM imelaanika yaani hata kilema na mwanamke bado dhuluma ipo palepale...............Oh God of Israel have compassion on your servants and right this pernicious wrong.......................
unashangaa ulemavu ccm wanauwa maalbino..........ccm hapendwi mtu kwenye maslahi wanakumaliza tu.
ccm=chakachua sport club
 

sister hiyo ndio siasa ya tz chafu kuliko tunavyodhani....................piga moyo konde la muhimu ni huo ushahidi tu basi na make sure timu yako na hao mawakala mnasimama mstari mmoja.
 

Kuna kitu sielewi hapa. Equation gani inatumika? Mbona havi-tally? Regia hesabu zimewapiga chenga nyie wote hapo kituoni?
 
Mngemjua huyo mteketa! sijui atatusaidia nini kule!

NAMJUA mteketa personally,ndiomaana huko nyuma nilishasema,tanzania ni kama kichwa cha mwendawazimu,any tom dick and harry can lead,all in all watanzania politicalwise bado tuko nyuma ndio maana vichwa kama mteketa vinapenya-i just dont see any light at the end of the tunnel-May the almighty GOD bless tanzania in these dark moments
 
Kifupi ni kwamba matokeo yamechakachuliwa.Matokeo halisi yalikuwa Abdu Mteketa-CCM Kura 42,000,Regia Mtema-CHADEMA Kura 43,200 CUF na UPDP Kura zao kwa pamoja hazizidi 3000.Kuna mambo mengi yaliyojitokeza lakini mwisho wa siku msimamizi wa uchaguzi amemtangaza bwana Mteketa kuwa mshindi kwa kura 43459,Mtema kura 38,550,CUF 4469 na UPDP 299.Sijakubali matokeo na sasa ndio tunafanya utaratibu ili kufungua kesi.
Pole saana dada yangu usikate tamaa hawa jamaa ni hatari saana. Uamuzi wa mahakama ndio sahihi. Tunakutakia mafanikio.
 
Regina,

Ngangamala hasa na hawa Vibaka wa Demokrasia maana Wenje angelala, ingekula kwake.

Nategemea Lisu atakuwa huko kwako maana nimepata habari kuwa Marando atatua Kigoma muda wowote.

Wanasheria wa Chadema na wengine watakaotaka kusaidia Demokrasia, kazi kwenu.

NGO zinazotetea wanawake, msimtupe mwenzenu jamani. Pia NGO za kila aina, msaada wenu wahitajika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…