ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
kwa utaratibu wa wajumbe kupitisha wagombea ni ngumu sana kupata wanaokubalika kwa wanainchi ispokua pesa, ila kwa utaratibu wa wanachama wote kupitisha wagombea inawezekana kabisa kupata wagombea wanaokubalika, bora na makini zaidi πMwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar bwana Abbas Mtevu amewataka wajumbe wenye dhamana ya kupitisha wagombea wa Ubunge na udiwani kupitisha wagombea ambao wanakubalika Kwa Wananchi vinginevyo watawafyeka.
View: https://www.instagram.com/reel/C6j3pk1sNNl/?igsh=MWl5NmNkZnVjcXJuZw==
My Take
Naunga mkono hoja, kimsingi hapa Tanzania hakuna Wapinzani ila ukiona Wapinzani Wameshindwa ujue CCM ilipitisha mgombea ambae hakunaliki kisa wajumbe walivuta mpunga.
CCM ni Watanzania.Wakinzani ni Watanzania. Unapoueleza umma kwamba hakuna wakinzani unajaribu kutueleza kwamba nchi haina watu au unamaanisha nini?NB;Kaa utulie ujielimishe zaidi ukinzani ni nini hasa!Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar bwana Abbas Mtevu amewataka wajumbe wenye dhamana ya kupitisha wagombea wa Ubunge na udiwani kupitisha wagombea ambao wanakubalika Kwa Wananchi vinginevyo watawafyeka.
View: https://www.instagram.com/reel/C6j3pk1sNNl/?igsh=MWl5NmNkZnVjcXJuZw==
My Take
Naunga mkono hoja, kimsingi hapa Tanzania hakuna Wapinzani ila ukiona Wapinzani Wameshindwa ujue CCM ilipitisha mgombea ambae hakunaliki kisa wajumbe walivuta mpunga.
Tanzania hakuna Wapinzani,ni waganga njaa tuuCCM ni Watanzania.Wakinzani ni Watanzania. Unapoueleza umma kwamba hakuna wakinzani unajaribu kutueleza kwamba nchi haina watu au unamaanisha nini?NB;Kaa utulie ujielimishe zaidi ukinzani ni nini hasa!
Huwajui vizuri hao masisiemu wanatoa kauli za hvo kabla ya uchaguzi ila mchakato ukianza wanakua kama mbweha hela tu inaaanza kuongea
Wale sawa ila wachague yule anakubalikakwa utaratibu wa wajumbe kupitisha wagombea ni ngumu sana kupata wanaokubalika kwa wanainchi ispokua pesa, ila kwa utaratibu wa wanachama wote kupitisha wagombea inawezekana kabisa kupata wagombea wanaokubalika, bora na makini zaidi π
Sasa kwa nini utupotezee muda kuandika neno "wapimzani"?Si ungeandika "waganga" tu?ee Tanzania hakuna Wapinzani,ni waganga njaa tuu
Njia kuu ya mapato ya wana CCM ni rushwa.Kwanini uingozi wa juu usiwe unachagua tu wagombea moja kwa moja kuliko kuwaacha wajumbe wapige kura halafu wao wawatengue?
Ngoja tuone. ππTuleteeni wanaokubalika na sisi wananchi.
Ilo litapunguza athari za baada ya uchaguzi.
Maana mkileta watu ambao hawakubaliki kuanzia ngazi ya Rais hadi Diwani, Mjue kabisa mtatumia nguvu kubwa sana kuwapitisha kwa wananchi
Mikwara ili naye akumbukwe π ππWajumbe muda wao wa kupata hela umewadia sasaπ huyo mwenyekiti atulie tu!
Umepiga kwenye mshono ! πKwanza kabisa poleni na Hidaya. Binti huyu kachachafya kweli kweli. Poleni sote.
Tiendleee....hili suala zima linafikirisha sana.
Kwamba kuna wabunge wasiokubalika kwenye Bunge letu? Walipitaje?
Let' assume walipitishwa, kwa vyovyote vile; Bao la mkono, Maagizo kutoka juu, bahasha mkononi n.k n.k -wanatuhakishia vipi Watanzania kwamba mambo hayo hayajirudii?
Maana yake kama hata huko nyuma walisema haya haya, kwamba 'wasipelekewe wabunge wasiokubalika, ni vigezo gani watatumia safari hii? Je, Utaratibu wanaoutumia, kiutamaduni ndio ushapitwa na wakati? hamna kanuni na utaratibu unaoeleweka?
==============
nje, kidogo hapa
==============
tlaataaah kwa namna moja au nyingine, suala hili limemgusa, ikumbukwe amekubalika ama ameshapitishwa na madiwani wa umma wa JF- baada ya kutoka hadharani na kuweka dhamira yake ya kutuwakilisha bungeni 2025 Je, anavyo vigezo vya Mtemvu?
Kumekucha!Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar bwana Abbas Mtevu amewataka wajumbe wenye dhamana ya kupitisha wagombea wa Ubunge na udiwani kupitisha wagombea ambao wanakubalika Kwa Wananchi vinginevyo watawafyeka.
View: https://www.instagram.com/reel/C6j3pk1sNNl/?igsh=MWl5NmNkZnVjcXJuZw==
My Take
Naunga mkono hoja, kimsingi hapa Tanzania hakuna Wapinzani ila ukiona Wapinzani Wameshindwa ujue CCM ilipitisha mgombea ambae hakunaliki kisa wajumbe walivuta mpunga.