Mtendaji Mkuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania alazimisha watumishi kuchangia maafa ya Katesh kuanzia 20,000-50,000

Kumbe kutoka kwenye posho ? Hiyo hela kidogo sana angefanya 50,000-100,000/=.
 
mshahara ni kipato halali anachopata mtu baada ya kufanya kazi halali, kipato hiki ni mali binafsi ya mtu hivyo si sahihi kupangiana namna ya kutumia pesa za mshahara usio wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…