Mtendaji wa III (Nafasi 2) Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Aprili, 2024

Mtendaji wa III (Nafasi 2) Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Aprili, 2024

Jamii Opportunities

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
4,876
Reaction score
1,549
POSTMTENDAJI WA KIJIJI III - 2 POST
EMPLOYERHalmashauri ya Wilaya ya Mbarali
APPLICATION TIMELINE:2024-04-02 2024-04-15
JOB SUMMARYNIL
DUTIES AND RESPONSIBILITIES(i)Mtendaji Mkuu wa Serikali ya kijiji
(ii)Katibu wa Kamati ya kijiji
(iii)Mratibu wa utekelezaji wa Sera na Sheria zinazotekelezwa na Halmashauri katika Kijiji
(iv)Mshauri wa Kamati ya Kijiji kuhusu Mipango ya Maendeleo katika Kijiji.
(v)Msimamizi wa Utekelezaji wa Sheria ndogo pamoja na Sheria nyingine zinazotumika katika Kijiji
(vi)Mshauri wa Kamati ya Kijiji kuhusu masuala ya Ulinzi na Usalama.
(vii)Msimamizi wa Mtekelezaji wa mikakati mbalimbali inayohusu uondoaji wa njaa na Umasikini katika Kijiji.
(viii)Kusimamia Ukusanyaji wa mapato ya Halmashauri na kutunza kumbukumbu za walipa kodi.
(ix)Atawajibika kwa Mtendaji wa Kata.
QUALIFICATION AND EXPERIENCEKuajiriwa mwenye Elimu ya kidato cha Nne(IV) au Sita (VI) aliyehitimu mafunzo ya Astashahada/Cheti katika moja ya fani zifuatazo: Utawala,Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Sanaa kutoka Chuo Cha Serikali za Mitaa Hombolo, Dodoma au Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION TGS B

Apply here
 
Back
Top Bottom