LGE2024 Mtendaji wa kijiji cha Mpandapanda na Mtendaji wa kata ya Kiwira wamewaengua wagombea wote wa CHADEMA

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
A

Anonymous

Guest
Mtendaji wa kata ya kiwira ambaye ni kada mtiifu wa CCM anahujumu uchaguzi pamoja na mtendaji wa kijiji cha Mpandapanda wamewaengua wagombea wote wa CHADEMA kijiji cha Mpandapanda au Kiwira Mjini kibabe bila sababu
 
"Mtendaji ambaye upinzani utashinda kwenye Kijiji chake atatupisha" am kidding
 
Back
Top Bottom