Mtendaji wa kata ya kiwira ambaye ni kada mtiifu wa CCM anahujumu uchaguzi pamoja na mtendaji wa kijiji cha Mpandapanda wamewaengua wagombea wote wa CHADEMA kijiji cha Mpandapanda au Kiwira Mjini kibabe bila sababu