Jamii Opportunities
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 4,876
- 1,549
| POST | MTENDAJI WA KIJIJI III - 1 POST |
| EMPLOYER | Halmashauri ya Wilaya ya Itigi, |
| APPLICATION TIMELINE: | 2024-04-15 2024-04-28 |
| JOB SUMMARY | NIL |
| DUTIES AND RESPONSIBILITIES |
|
| QUALIFICATION AND EXPERIENCE | Kuajiriwa mwenye Elimu ya kidato cha Nne(IV) au Sita (VI) aliyehitimu mafunzo ya Astashahada/Cheti katika moja ya fani zifuatazo: Utawala,Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Sanaa kutoka Chuo Cha Serikali za Mitaa Hombolo, Dodoma au Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali. |
| REMUNERATION | TGS B |
CLICK HERE TO APPLY