JOYCE PAUL
JF-Expert Member
- Jan 8, 2010
- 1,005
- 82
chuki binafsi mbona Dunga hukuwahi sema hapajamani me huyu mtengeneza nyimbo wa fish crab studio (producer) me naona kazidi kila nyimbo anayotengeneza lazima atokee kwenye video yake.sasa nini anajitangaza kwa njia hiyo au ndo ulimbukeni?me naona afuate nyayo za maproducer waliopo aliowakuta kwenye game.
jamani me huyu mtengeneza nyimbo wa fish crab studio (producer) me naona kazidi kila nyimbo anayotengeneza lazima atokee kwenye video yake.sasa nini anajitangaza kwa njia hiyo au ndo ulimbukeni?me naona afuate nyayo za maproducer waliopo aliowakuta kwenye game.
vipi bana, mmenyimana nini?jamani me huyu mtengeneza nyimbo wa fish crab studio (producer) me naona kazidi kila nyimbo anayotengeneza lazima atokee kwenye video yake.sasa nini anajitangaza kwa njia hiyo au ndo ulimbukeni?me naona afuate nyayo za maproducer waliopo aliowakuta kwenye game.