ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,050
- 6,199
Kwa Katiba ya nchi iliyopo, CCM haihitaji wapiga kura ili kupata kura. Huikuhitaji wewe wala mmachinga.Hao machinga wasubirie kipindi cha uchaguzi tu ndo thamani yao itapanda
Yatima hadeki ndiposa najiuliza Watetezi wa Wamachinga ni nani?
Ni kile chama cha Wakulima na Wafanyakazi (CCM) au ni hiki chama cha wafanyabiashara (Chadema)?
Kwani kura walimpa nani?
Zama ubadilika uelewa unaongezekaKwa Katiba ya nchi iliyopo, CCM haihitaji wapiga kura ili kupata kura. Huikuhitaji wewe wala mmachinga.
Hata wasipoenda kupiga kupiga kura, wao watapata idadi % wanayohitaji.
Tume ya uchaguzi wanateua wao, ma DED wao, Polisi, TISS
View attachment 1985795
Kuhusu kura hapo unakosea maana hakukua na uchaguzi Bali uchafuziYatima hadeki ndiposa najiuliza Watetezi wa Wamachinga ni nani?
Ni kile chama cha Wakulima na Wafanyakazi (CCM) au ni hiki chama cha wafanyabiashara (Chadema)?
Kwani kura walimpa nani?
Hakuna kuwatetea hawa bado wale wanaopanga vitu kwenye maduka yao had I barabarani na kuzuia maduka mengine hawako tofauti na wamachingaNchi ina watu wa ajabu Sana yaani watu wanavunja Sheria then wanataka watetewe badala ya Sheria kuchukua mkondo wake huwez kufanya biashara kwenye njia ya wapita kwa miguu ukataka utetewe ili undelee kuvunja Sheria.