Harold Finch
New Member
- Jul 13, 2026
- 1
- 9
Kazi gani kubwa anafanya? Acheni utani jamani!Mwigulu anafanya kazi kubwa sana lazima wenzie watake kumuua
Ikiwa ni upande wa mashetani ni kheri ila isiwe ni upande unaosulubiwa na mashetani tu!Wacha wamalizane
Hivi wewe Stroke na funaku a.k.a jingalao hamna shughuli nyingine ya kufanya zaidi ya hii ya kulamba makalio ya watawala? Nakumbuka mpo toka enzi za Kikwete, akaja Magufuli na sasa Samia ila kuna walamba makalio wenzenu mliokuwa nao enzi hizo hatuwaoni. Walikuwepo wakina YEHODAYA, Lizaboni Simiyu Yetu, FaizaFoxy, Bia yetu na wengine wengi. Wote hao hawapo nahisi walishapata kazi za kuwaingizia kipato wakaachana na hii kazi ya kulamba matako ya watawala, ila ninyi bado mpo tu. Nauliza mmeshindwa kabisa kupata kazi hadi miongo zaidi ya mitatu bado mnalamba makalio tu?Mimi tu ambaye ni mtu wa kawaida nimepona kuuwawa ndio awe huyo?
Hana kazi yeyote ya maana mnafiki tuuMwigulu anafanya kazi kubwa sana lazima wenzie watake kumuua
Umepatia sana.Hivi wewe Stroke na funaku a.k.a jingalao hamna mnashughuli nyingine ya kufanya zaidi ya hii ya kulamba makalio ya watawala? Nakumbuka mpo toka enzi za Kikwete, akaja Magufuli na sasa Samia ila kuna walamba makalio wenzenu mliokuwa nao enzi hizo hatuwaoni. Walikuwepo wakina YEHODAYA, Lizaboni Simiyu Yetu, FaizaFoxy, Bia yetu na wengine wengi. Wote hao hawapo nahisi walishapata kazi za kuwaingizia kipato wakaachana na hii kazi ya kulamba matako ya watawala, ila ninyi bado mpo tu. Nauliza mmeshindwa kabisa kupata kazi hadi miongo zaidi ya mitatu bado mnalamba makalio tu?