Mtetezi wa Wanyonye adaiwa kupewa sumu

Mtetezi wa wanyonge ndio nani?
 
Mkuu Lizaboni ni yuda the man himself.
 
Wataua wangapi?
Kwa sasa WaTanganyika wanajua wanataka nini... Wasipokipata kwa mmoja watakitafuta kwa mwingine!
 
Mwigulu ameweka Kodi kwa mwananchi wa Hali ya chini mno.
Kodi kwenye vocha,miamala na bado amebana kwenye MAENEO mengine, mbaya zaidi ni anonymous kwenye biashara kukuu. Nakumbuka yule mngese mbunge wa Jimbo flan alimwambia Dr mpango kwannini anawalipisha Kodi wabunge. Sasa lameck ametugeukia maskini. Anamakosa makubwa Sananhuyo jamaa, halafu anajifanya anatokea familia maskin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…