Mteule Stuka! Ukihamishwa, jiandae kisaikolojia

Valencia_UPV

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2016
Posts
6,974
Reaction score
8,750
Awamu hii Wateule hawatumbuliwi majukwaani Kama awamu ya 5; Kwa sasa

1. Unahamishwa/demotion
2. Unatumbuliwa/kupangiwa kazi nyingine (hewa).

Mifano ya waliokumbwa na dhahma hiyo,
I. Professor Mkuu Kalamaganda,
II. Dr Lukuvi,
III. Ditto James,
IV. Ngusa Samike
 
1. Lukuvi alikuwa anaperfom sana wizara ya Ardhi, sijui utamlinganisha na nani huko ardhi
Nafikiri alihamishiwa ofisi kuu kwa kazi maalum ya ushauri nk hivyo hajashushwa
2. Palamagamba namuona kama Asset kwa Nchi, watu kama wale hawawezi kutupwa; ni watu muhimu sana kwa Taifa japo kwa raia wa kawaida Wanaweza wasijue umuhimu wao
3. Hao wengine siwajui vizuri.....
 
Kabudi ni mtu muhimu kwa nchi? Nikikumbuka ule utapeli wake wa kunywa dawa toka Madagascar isiyo na udhibitisho wa kimaabara nachoka kabisa.
 
Awamu hii Wateule hawatumbuliwi majukwaani Kama awamu ya 5; Kwa sasa

1. Unahamishwa/demotion
2. Unatumbuliwa/kupangiwa kazi nyingine (hewa).

Mifano ya waliokumbwa na dhahma hiyo,
I. Professor Mkuu Kalamaganda,
II. Dr Lukuvi,
III. Ditto James,
IV. Ngusa Samike
Sasa hivi inaitwa namtoa nisiyempenda namuweka niliye na mahaba nae jumlisha vimemo.

Au tunaangalia huyu ana uwezo kunizidi, nikiendelea kumuacha atani outsmart.
 
1. Lukuvi alikuwa anaperfom sana wizara ya Ardhi, sijui utamlinganisha na nani huko ardhi
Nafikiri alihamishiwa ofisi kuu kwa kazi maalum ya ushauri nk hivyo hajashushwa
2. Palamagamba namuona kama Asset kwa Nchi, watu kama wale hawawezi kutupwa; ni watu muhimu sana kwa Taifa japo kwa raia wa kawaida Wanaweza wasijue umuhimu wao
3. Hao wengine siwajui vizuri.....
Tangu walipopigwa chini nchi iliyumba kwenye mambo gani? Acha ujuha.
 
1. Lukuvi alikuwa anaperfom sana wizara ya Ardhi, sijui utamlinganisha na nani huko ardhi
Nafikiri alihamishiwa ofisi kuu kwa kazi maalum ya ushauri nk hivyo hajashushwa
2. Palamagamba namuona kama Asset kwa Nchi, watu kama wale hawawezi kutupwa; ni watu muhimu sana kwa Taifa japo kwa raia wa kawaida Wanaweza wasijue umuhimu wao
3. Hao wengine siwajui vizuri.....
Wote hao wamepigwa kisiasa kama hujui.
Wamepelekwa hapo kudhibitiwa
 
Awamu hii Wateule hawatumbuliwi majukwaani Kama awamu ya 5; Kwa sasa

1. Unahamishwa/demotion
2. Unatumbuliwa/kupangiwa kazi nyingine (hewa).

Mifano ya waliokumbwa na dhahma hiyo,
I. Professor Mkuu Kalamaganda,
II. Dr Lukuvi,
III. Ditto James,
IV. Ngusa Samike
Palamagamba ni mtuhumiwa !! Amekutwa na fedha nyingi sana zinazohusiana na mkataba wa nickel. Hali yake ni tete
 
1. Lukuvi alikuwa anaperfom sana wizara ya Ardhi, sijui utamlinganisha na nani huko ardhi
Nafikiri alihamishiwa ofisi kuu kwa kazi maalum ya ushauri nk hivyo hajashushwa
2. Palamagamba namuona kama Asset kwa Nchi, watu kama wale hawawezi kutupwa; ni watu muhimu sana kwa Taifa japo kwa raia wa kawaida Wanaweza wasijue umuhimu wao
3. Hao wengine siwajui vizuri.....
hahaaaa kwa vichekesho kama hivyo tubonyeze ngapi
 
Nishabahatika kuwa karibu na wateule kadhaa tulikuws tunakutana kwenye vikao vya jion. Acheni hawa watu wanaishi maisha magumu fitina, unafiki, visasi na kujipendekeza ndo kwingi. Kazi za teuzi mm hata sizikubali japo kuna mda nlitaman sana and nlikuwa najisogeza sana enzi za awam ya 5. Nistress tupu
 
Back
Top Bottom